rekles - ghetto mentality freestyle كلمات الأغنية
[verse]
yeah, uh
mada_f_cker, sikusikii, jo, una_stammer
flow bado chafu, we kam tu na duster
mi ni bazu [?] mko london
na msingoje ata hook, buda, ni verse tu nafanya
na napenda ma[?] pia zina[?] tu kwa haga
rada, si hatuna form, tumeanza session na tuko rada mbaya
mbona madem hudai mi hukaanga ati kama bryan?
na pia juu wanakudai, na unakaanga kaa diana
oya, i’m the sickest rapper kaa daktari ana ebola
maajabu, siezi dedi ata na sumu kwa kiroma
siezi bleki, mi niko sober, ongeza pedi, acha nimedi
alafu we ni m_s_xy sana uki_bend over
uh, na hainihusu kaa hailipi
ata na nduru hamwezi bado, mtu wa kelele kaa sisi
na ukitokwa, buda, pana leta huku ma_feelings
hadi soccer, bado jua i’m the man kaa man city
na uwache chocha buda, si tunajua hujaomoka
mi hujikaranga instagram na grandma, na sijasoma
ma_gangster twitter, but kwa njia, ona, wanaogopa
ati hauna mansion, buda, bado unaishi kwa gorofa
bado hujatoka umoja, [?] soma
hii [?] ifike bloggers, aki ya nani, unajoma
mi huchoma ngwai, nachoma picha, huwezi nipata sober
na_study [?], kaa judas time ya jesus, [?]
ghetto mentality
ghetto mentality
ghetto mentality
ghetto mentality
كلمات أغنية عشوائية
- jeffrey lewis - cult boyfriend كلمات الأغنية
- the red mirror - bent! كلمات الأغنية
- juha mulari - sjömanshjärta كلمات الأغنية
- scott bradlee's postmodern jukebox - side to side كلمات الأغنية
- t.west - right now كلمات الأغنية
- status quo - down the dustpipe - 7" version كلمات الأغنية
- julie london - you stepped out of a dream كلمات الأغنية
- gradient - grabbin' the mic كلمات الأغنية
- fenris83 - kind deiner kunst كلمات الأغنية
- ungfila - jeg trenger deg كلمات الأغنية