recho kizunguzungu - upepo كلمات أغنية
(verse 1)
upepo w_ngu wakupuliza wewe, mwenye joto kali
usijaribu kuvaa sweta, utaongeza ukali
nachotaka mimi ni kuwa na wewe, naomba unielewe
uhh baby
(verse 2)
upepo w_ngu wakupuliza wewe, mwenye joto kali
usijaribu kuvaa sweta, utaongeza ukali
nachotaka ni mimi kuwa na wewe, naomba unielewe
uhh baby
(chorus)
moyo unaniuma mpaka nasema, mpaka najihisi sio mzima
nafsi inaniuma siishi kwa wema, mpaka najihisi sio mzima
unaniumiza, unaniliza
unaniumiza, mpaka najihisi kwamba sio mzima
(verse 3)
mbona umen’goa ng’oa ng’oa (soli, soli ya kiatu)

ona umekimbia, umejichoma (aah umejichoma)

ona kwa aibu, umejichoma (aah umejichoma)

(bridge)
ai yeah yeah yeah yeah
(verse 4)
umeniachia vidonda moyoni, vitapona lini
niwe tabibu mwenye tiba yakini, kwa yangu afueni
nachotaka mimi ni kuwa na wewe, naomba unielewe
uhh baby
(verse 5)
umeniachia vidonda moyoni, vitapona lini
niwe tabibu mwenye tiba yakini, kwa yangu afueni
nachotaka mimi ni kuwa na wewe, naomba unielewe yeah
uhh baby
(chorus)
moyo unaniuma mpaka nasema, mpaka najihisi sio mzima
nafsi inaniuma siishi kwa wema, mpaka najihisi sio mzima
unaniumiza, unaniliza
unaniumiza, mpaka najihisi kwamba sio mzima
(outro)
mbona umen’goa ng’oa ng’oa (soli, soli ya kiatu)
mbona umen’goa ng’oa ng’oa (soli, soli ya kiatu)
ona umekimbia, umejichoma (aah umejichoma)
ona umekimbia, umejichoma (aah umejichoma)
ona kwa aibu, umejichoma (aah umejichoma)
ona umekimbia, umejichoma (aah umejichoma)
كلمات أغنية عشوائية
- fy - momento كلمات أغنية
- proof - neil armstrong كلمات أغنية
- laura léda - j'te parle pas كلمات أغنية
- santuario - pulsos del mundo كلمات أغنية
- sxtn - made 4 love كلمات أغنية
- canesecco - da solo كلمات أغنية
- cilla raie - masterpiece كلمات أغنية
- truthcity - alone كلمات أغنية
- justin jay - what do you want كلمات أغنية
- parker millsap - wherever you are كلمات أغنية