rayvanny - wasi wasi كلمات الأغنية
heyy…
hmm heyy heyy…
mmhmhmmm…
upepo mwanana
nawe upo kifuani mw_ngu
jua likizama
mikono salama
karibu kwenye moyo w_ngu
mi baba uwe mama
aah…
zima taa washa mishumaa
nilishe kama na njaaaa
aah…
kila dakika kila masaa
palilia penzi litasinya
aah…
sura yako macho yako
upole wa mama yako
we chaguo langu
mama aah
taswira yangu picha yako
moyo w_ngu mali yako
we chaguo langu
mama aah
wasiwasi
mwenzako sina
maana niko na wewe
wasiwasi
tunza heshima
niwe na ww milele
wasiwasi
uko na mm usiwe na
wasiwasi
uniaminiii
usiwe na wasiwasi
ntakuganda ruba
pua na leso tufatane
mahabuba
tuwe mapacha tufanane
wenye husuda wakiroga tutengane
ongeza rutuba
nije na pete tuoane
supu chukuchuku
miguu ya vikuku
ayy
utaua ehh
utaua ehh
na haya m_n_sunusu
ukinibusubusu
ayy
maua ehh
maua ehh
sura yako macho yako
upole wa mama yako
we chaguo langu
mama aah
taswira yangu picha yako
moyo w_ngu mali yako
we chaguo langu
mama aah
wasiwasi
mwenzako sina
maana niko na wewe
wasiwasi
tunza heshima
niwe na ww milele
wasiwasi
ehhhh
uko na mm usiwe na
wasiwasi
uniaminiii
usiwe na wasiwasi
كلمات أغنية عشوائية
- lil wop - dawn of the dead كلمات الأغنية
- sophia messa - offyourface كلمات الأغنية
- the chips (joe south) - long lonely winter كلمات الأغنية
- bankroll fresh - paper tags كلمات الأغنية
- lil wop - swervin' كلمات الأغنية
- lil wop - murder rate كلمات الأغنية
- adorare - souboj كلمات الأغنية
- carousel - you and me كلمات الأغنية
- post season - another day another schrute buck كلمات الأغنية
- yung gleesh - show u how to work كلمات الأغنية