
rayvanny - wanaweweseka كلمات أغنية
[intro]
uuuuuu
wanaweweseka hao!
wanaweweseka hao!
[verse 1]
wenye wivu wasijinyonge
ila wapigwe shoti wafe
king’asti w_ngu yuko hapa hapa
usinishike bega niache
nakupa yote mung’unya, utamu wa pipi mate
baby, kwa mapenzi uko chuo
hauko tena kindergarten
marashi ya pemba
amechanganya na tanga
mtoto kama saida karoli
anavyochambua karanga…
na simuachi nampenda, ye pete mi chanda…
l.o.v.e. (i love you) kama kassim mganga…
[bridge]
presha inapanda, presha inashuka
wanaovimba watapasuka
nikikupost namba insta patachaf_ka
watatamani kuhack waje kufuta hao…
leleleeeeee
[chorus]
wanaweweseka hao! (wanakopa bando, watuperuzi)
wanaweweseka hao!
wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwaudhi)
wanaweweseka hao!
wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi)
wanaweweseka hao!
[verse 2]
ndege, tausi, maringo na tegeeee
umbo kifusi, nyuma kishindo…
nikubebeeeee, wenye chuki wakate shingo…
sitaki rede, ninabunduki na weka lindo…
udongo gani, ulo kufinyanga mwali wewe?
mganga gani, alopiga manyanga mwali weee?
majungu si mtaji (ayayayaaa)
maneno sio radi (ayayayaaa)
jasho linawatoka maji (i love you daddy)
marashi ya pemba, amechanganya na tanga
mtoto kama saida karoli, anavyochambua karanga…
na simuachi nampenda, ye pete mi chanda…
l.o.v.e. (i love you) kama kassim mganga…
[bridge]
presha inapanda, presha inashuka
wanaovimba watapasuka
nikikupost namba insta patachaf_ka
watatamani kuhack waje kufuta hao…
leleleeeeee
[chorus]
wanawewesena hao! (wanakopa bando, watuperuzi)
wanaweweseka hao!
wanaweweseka hao! (mama nipe mambo, tuwaudhi)
wanaweweseka hao!
wanaweweseka hao! (basi cheka cheka ukideka deka na mimi)
wanaweweseka hao!
كلمات أغنية عشوائية
- alan mora - wish كلمات أغنية
- benny benni - mi mayor venganza كلمات أغنية
- kinder garden - macchinetta كلمات أغنية
- giver (hc) - the other كلمات أغنية
- pibes chorros - una copa más كلمات أغنية
- lm - je l'aime quand même كلمات أغنية
- pierre stemmett - red كلمات أغنية
- miracle of sound - starting over كلمات أغنية
- stars in stereo - fall forward كلمات أغنية
- nate57 - kiezgeschichten teil i كلمات أغنية