
rayvanny - usingizi كلمات أغنية
[verse 1 : rayvanny]
nikuite mahabuba, honey benki ya furaha
sweat chocolate, my sugar, one in a billion
[pre chorus : rayvanny & yammi]
usingizi mtamu nikilala na wewe
chakula hakipiti nsipokula na wewe
nimependa ninapopendwa, mniache nile zangu raha
mapenzi yanawenyewe
na wenyewe ni mimi na wewe
[chorus : rayvanny & yammi]
i love you, i love you more
kwako sijiwezi, me utanitoa roho
nimependa ninapopendwa, mniache nile zangu raha
i love you, i love you more
kwako sijiwezi, utanitoa roho
nimependa ninapopendwa, mniache nilе zangu raha
[verse 2 : rayvanny& yammi]
meli kwenye upеpo baharini
utulie na mimi
upendo unavyo uthamini
nisikupende kwanini
nahisi uliumbwa wewe uwe na mimi
me sikuachi niamini
penzi ni siri yetu we na mimi
sitaki mwingine, wanini
ntalalama mimi
me napendwa mimi
me natunzwa mimi
mungu anipe nini
[pre chorus : rayvanny & yammi]
usingizi mtamu nikilala na wewe
chakula hakipiti nsipokula na wewe
nimependa ninapopendwa, mniache nile zangu raha
mapenzi yanawenyewe
na wenyewe ni mimi na wewe
[chorus : rayvanny & yammi]
i love you, i love you more
kwako sijiwezi, me utanitoa roho
nimependa ninapopendwa mniache nile zangu raha
كلمات أغنية عشوائية
- alex newell - nobody to love كلمات أغنية
- cdqp - quitter ce monde كلمات أغنية
- kevin michael - there's a light [joe garston mashup] كلمات أغنية
- angel haze - exposed كلمات أغنية
- hotman - horny monday كلمات أغنية
- leon vegas - restinpeace كلمات أغنية
- dabbla - pterodactill كلمات أغنية
- alpis - bäst så här كلمات أغنية
- trakma - chomé كلمات أغنية
- house of lions - pair of lights كلمات أغنية