
rayvanny - nateswa كلمات أغنية
hivi nachezea rhumba ama bolingo nangai
maana nina kiwembe kwenye vita ya masai
wanitesa mchumba nimependa sishangai
penzi kitovu uzembe mi nalia we furahi
ila musiende nyumbani za wageni walete nyumbani kw_ngu
chunga taratibu na chaga msije vunja kitanda changu
nimekunulia na feni msisweti mke w_ngu
kama majasho mkimwaga litumie taulo langu
naaa baya lako zuri kw_ngu yote nimekusamehe
kosa la kwako lawama kw_ngu acha tu nijitetee
furaha yako furaha yangu sipendi unyong’onyee
ukimpenda rafiki yangu sema nikutongezee
utamu wa pipi ni mate yangu
wapika na mimi wanakula wenzangu
ona nakosa siti kwenye gari langu
kuleni embe acheni kokwa langu
nateswa nateswa
mwenzenu nateswa na mapenzi
jamani nateswa nateswa
mwenzenu nateswa na mapenzi
mapenzi anapanga maanani sitaki kuruka kuruka
sawa ni pande kichwani ukichota itashuka
niite mfanyakazi wa ndani huna haja kusumbuka
kwani anakuja muda gani niwatandikie shuka
siogopi kushare ila usisahau kinga
j_po kw_ngu fedheha kuku wa chando nashinda
kweli wanionea nakubali we ndo bingwa
nipo radhi kulea kama wakikupa mimba
naaa baya lako zuri kw_ngu yote nimekusamehe
kosa la kwako lawama kw_ngu acha tu nijitetee
furaha yako furaha yangu sipendi unyong’onyee
ukimpenda rafiki yangu sema nikutongezee
utamu wa pipi ni mate yangu
wapika na mimi wanakula wenzangu
ona nakosa siti kwenye gari langu
kuleni embe acheni kokwa langu
nateswa nateswa
mwenzenu nateswa na mapenzi
jamani nateswa nateswa
mwenzenu nateswa na mapenzi
كلمات أغنية عشوائية
- vincent delerm - robes كلمات أغنية
- jake bugg - kentucky كلمات أغنية
- oingo boingo - out of control (outer control dub) كلمات أغنية
- boo hewerdine - a slow divorce كلمات أغنية
- corynne charby - a cause de toi كلمات أغنية
- sum - fight or flight كلمات أغنية
- foetus - mandelay (phylr mix) كلمات أغنية
- the summer set - love on our mind كلمات أغنية
- ryan cabrera - exit to exit (acoustic) كلمات أغنية
- cooltiva - ají de lengua كلمات أغنية