rayvanny - mchepuko كلمات الأغنية
mtoto wa kike punguza sifa
unavyojituma hadi unatoa mishipa
wana ni w_ngu ila unavyojipandisha
viuno ni vingi chunga isije katika
hujui kama tuko kwenye ndoa
au umepanga kunikomoa
unavyomganda hadi unaboa
na una waganga kila mkoa
anakusifia kiuno
na unavyotoa miguno
wake mfano sugunyo
hadi unasahau kurudi nyumbani
una mafuta na asali
ukipandaga hushuki una hatari
uvunguni juu ya dari
leo nimekufuma hii show utakubali
mchepuko mchepuko we
mchepuko niachie baby w_ngu
mchepuko mchepuko we
mchepuko hebu muache mume w_ngu
sa nisikilize bibi koma
simu za usiku zimezidu koma
unajifanya beyonce wa kijiji koma
eti una viuno vya shakira koma
hujui unanitia hasira eeeh
ntakukata shingo
baby hasira hasara
usikunje ngumi acha kuchimba mikwara
huyu anaitwa sara
mtoto wa dada kutoka mbezi kimara
basi punguza papara
viwembe vya nini umnyoe mwenzio kipara
wanawake wawili msala
nimejua ninu kilimshinda manara
iiih si wanaume eeeh
si wanaume eeeh
sio wasaliti mnatusingizia
si wanaume eeeh
si wanaume eeeh
ni vishawishi ndo vinatuzingua
baby acha basi minuno
unataka vunja mtu kiuno
kuchwa visa sio mfumo
usije kuua uende gerezani
umechaf_kwa una makali
mama usinimwagie tindikali
hiyo bunduki ni hatari
ona mtoto wa kike huogopi serikali
mchepuko mchepuko we
mchepuko niachie baby w_ngu
mchepuko mchepuko we
mchepuko hebu muache mume w_ngu
sa nisikilize bibi koma
simu za usiku zimezidu koma
unajifanya beyonce wa kijiji koma
eti una viuno vya shakira koma
hujui unanitia hasira eeeh
ntakukata shingo
كلمات أغنية عشوائية
- nick sick - tutta pratica كلمات الأغنية
- force+motion - one life كلمات الأغنية
- spinabenz - dead high smokin 8 كلمات الأغنية
- slanted truths - as above كلمات الأغنية
- urltv - jakkboy maine vs chess كلمات الأغنية
- janny - fire كلمات الأغنية
- crayniy - я (i am) كلمات الأغنية
- angeline quinto - piliin mo ang pilipinas (choose philippines) كلمات الأغنية
- ruviru - gone too far كلمات الأغنية
- toobrazzy17 - all alone كلمات الأغنية