rayvanny - kitu kizito كلمات الأغنية
we misso missondo
umepigaje hapo
hatukupenda kua single
chui!
hatukupenda kulewa kila siku
hatukupenda watuite malaya
hatukupenda ila ilitokea tulipigwa na kitu kizito
kitu kizito
kitu kizito
kitu kizito
hata kama unapendwa acha kuringa
kisa kakuposti umeshaanza kuvimba
mapenzi yana wiki tu umesha beba na mimba
kuna kitu kizito
kitu kizito
utapigwa na kitu kizito
kitu kizito
misso missondo una hatari ntakupa dada
tumetoka mbali
tumemfata dj
tumetoka mbali sana
tumemfata dj
tumetoka mbali
tumemfata dj
tumetoka mbali sana
tumemfata na chui
we! we una hatari
we! we una hatari wewe
we! we una hatari
we! we una hatari wewe
ai mama!
we dj
ai mama!
we dj
ona toto ilo
ni wewe tu
sijui unafeli wapi?
ni wewe tu
akigeuka ndo bala!
ni wewe tu
baaria unakwama wapi?
ni wewe tu
haunogi
huu mziki bila kulewa
haunogi
huu mziki bila mademu jamani
haunogi
huu mziki bila k_moka
haunogi
haya masela waonyeshe tunachezaje hapo
digi, digi, digi, digi, digi, dindi
dugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu
digi, digi, digi, digi, digi, dindi
dugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu
digi, digi, digi, digi, digi, dindi
dugu, dugu, dugu, dugu, dugu, dundu
we misso missondo umepigaje hapoo?
we misso missondo
we misso missondo
we, we, we
umepigaje hapoo?
uchawi upo jamani
uchawi upo
hivi ilikuaje mikanasa kwa kile kituko
penzi lilikua na gundu
lenye misukosuko
kwanza ananuka shombo
mwana izaya akwende uko
ila huyu wasasa jama
mpeni maua yake
anajua kuni petipeti
mpeni maua yake
ila huyu wasasa jama
mpeni maua yake
anajua kuni honga honga
mpeni maua yake
soundboy
كلمات أغنية عشوائية
- lorenzo baglioni - una coca-cola con la cannuccia corta corta كلمات الأغنية
- placeboing - breaking bad remix (seasons 3-5) كلمات الأغنية
- domlaike - mola كلمات الأغنية
- yaëj - pintura كلمات الأغنية
- rebeca lindsay - pode chorar كلمات الأغنية
- heysuicide - inside me كلمات الأغنية
- odrugz - hoe كلمات الأغنية
- henny'o - santoryuu freestyle/free wonka كلمات الأغنية
- sdz music - warren buffet كلمات الأغنية
- raul uderman - vim para adorar-te كلمات الأغنية