rayvanny - kaniacha كلمات الأغنية
[verse 1]
sijuwi number yangu alifuta
hivi waga ananik_mbuka
mapenzi yetu yali kufa haaka
nime kuja vuta shuka k_mekucha
aliniambiya ananipenda nikalema
huba zito f_kizo pemba nikala raha
leo siamini amekwenda n’a kesha bar
mjanja wa mjini amenitenga kwenye mataa
[bridge]
picture zake natamani ni chome
sura yake sitamani nione
maumivu kwake nifanye je nipone
penzi lake limefanyo nikome
[chorus]
kaniacha
shemeji yenu
kaniacha
mchumbo w_ngu
kaniacha
shemeji yenu
kaniacha
mchumbo w_ngu
[verse 2]
bado siamini ah
ivini mimi dah
waku shindwa kula na kunywa na sihisi jaa
nilikuamini ah
umefanya nini na
bado moyo unama jera ntapona lini maa
ona wewe, una enjoy
umesha move on una amani
ona mimi, niko hoyi
yamеni chosa mapenzi siyatamani
aliniambiya atanipenda kwa shida na raha
mapenzi yotе nilo jenga leo jera
bado siamini nilo mpenda kani kataa
kweli maumivu yaku tendwa hayana shujaa
[bridge]
picture zake natamani ni chome
sura yake sitamani nione
maumivu kwake nifanye je nipone
penzi lake limefanyo nikome
[chorus]
kaniacha
shemeji yenu
kaniacha
mchumbo w_ngu
kaniacha
shemeji yenu
kaniacha
mchumbo w_ngu
كلمات أغنية عشوائية
- gnov - holtan كلمات الأغنية
- 稲葉曇 (inabakumori) - シンクタンク (sinktank) كلمات الأغنية
- deekay (rapper) - 2worthless كلمات الأغنية
- wordburglar - spectral mic كلمات الأغنية
- devin millar - the bubblegum ice pop كلمات الأغنية
- loredana errore - poi te ne parlerò كلمات الأغنية
- hrny - loukus كلمات الأغنية
- leith - coco كلمات الأغنية
- loredana errore - ora che nevica كلمات الأغنية
- gwangil jo (조광일) - 변태 (metamorphosis) كلمات الأغنية