rayvanny - falling in love كلمات الأغنية
utamu wa mapenzi
sitamani uishe
sitamani ukatike
tusifike mwisho
mmh deka mapenzi
ukitaka nikulishe
na pete nikuvishe
mi nawe mpaka kifo
(motif di don)
nime amua, moyo umekuchagua
hakuna wakusumbua, mimi ni wako
mmh naomba dua, penzi lizidi chanua
na lisiache kukua, nibaki kwako
malaika wamefananisha
uzuri usio jificha
we w_ngu wa maisha
malaika wamefananisha
uzuri usio jificha
we w_ngu wa maisha
i’ve fall in love, fall in love
i’ve fall in love, fall in love
tabasamu lako (lakoo)
midomo macho (machoo)
upendo, huruma umezawadiwa
tamu tamu yako (yakoo)
sitoki kwako (kwakoo)
mapendo huduma umejaliwa
this is love i have been looking
forever mine
i have been searching, my baby
with you, ooh no no
this is the love i have been waiting
forever love i havе been searching
my baby, my baby
malaika, wamefananisha
uzuri usiojificha
we w_ngu wa maisha
malaika wamеfananisha
uzuri usiojificha
we w_ngu wa maisha
i’ve fall in love
fall in love
i’ve fall in love
fall in love
i’ve fall in love
كلمات أغنية عشوائية
- khary durgans - sorry khary كلمات الأغنية
- i see stars - crystal ball كلمات الأغنية
- the dangerous summer - honesty كلمات الأغنية
- the dangerous summer - home كلمات الأغنية
- tommy love - rolling stone كلمات الأغنية
- the dangerous summer - drowning كلمات الأغنية
- the dangerous summer - anchor كلمات الأغنية
- justin bieber - alone كلمات الأغنية
- the dangerous summer - work in progress كلمات الأغنية
- nicky romero - drums of love كلمات الأغنية