
rayvanny - baby كلمات أغنية
mwanzo nilijua upo msalani
kama sio uko utakuwa nyumba ya jirani
nikapiga simu yako haipatikani
ndio unapokea sa’ hivi mummy
upo sehemu gani
hata kama sijajibu naomba samahani
ile njaa ya tumboni imepanda mpaka kichwani
sijakuaga ila jua ndio nipo njiani
ningependa niwe na wewe, ila uko utumwani
ningependa niwe na wewe, ila uko utumwani
inamaana umechoka sa mbona ni mapema
hizo shida zimechosha ntazeeka mapema
ni kweli ndani kuna masufuria
chakula hakuna, nini nitakupikia
na kama tukipika basi bamia
kutwa nzima na njaa kama ngamia
nguzo ya upendo kusubiria
kwa nini unashindwa nivumilia
na mimi mbona ninakupigania
mummy rudi nyumbani, mola atajalia
aaah siwezi, kwa nini?
sirudi, sababu gani?
siwezi, aaah
sirudi
nguo zangu zilivyochoka kama tambala ya deki
zimetoboka unaweza kusema net
huishi madeni, dukani kwa mangi mpaka bank
na ukirudi nyumbani, mf_koni huna cent
anapanga mola, kupata kukosa ridhiki
akinipa nashukuru na kama nikikosa sibishi
kwenye swala la mapenzi, mali si kitu iyoo
kwenye mapenzi, moyo kioa kitu iyoo
inamaana umechoka sa mbona ni mapema
hizo shida zimechosha ntazeeka mapema
ni kweli ndani kuna masufuria
chakula hakuna, nini nitakupikia
na kama tukipika basi bamia
kutwa nzima na njaa kama ngamia
nguzo ya upendo kusubiria
kwa nini unashindwa nivumilia
na mimi mbona ninakupigania
mummy rudi nyumbani, mola atajalia
aaah siwеzi, kwa nini?
sirudi, sababu gani?
siwezi, aaah
sirudi
كلمات أغنية عشوائية
- shark deep - deep blue sea كلمات أغنية
- zingara - love's calling كلمات أغنية
- dead astronauts - cage كلمات أغنية
- rip spooky - confused كلمات أغنية
- burak kut - olmaz [1997] كلمات أغنية
- fukksousa - dri dri كلمات أغنية
- iivrson - trapped in la كلمات أغنية
- jay b - think of you (plan8 remix) كلمات أغنية
- conacu - cine sunt eu كلمات أغنية
- kawala - 1,000,000 x better كلمات أغنية