rayvanny feat. diamond platnumz - mwanza كلمات الأغنية
vanny boy…
ehh vanny boy
ehe
they are not ready for this
eeh nyege nyege
kwetu mwanza nyegezi
hmmm nyege nyege
nishushe mwanza nyegezi
eeh nyege nyege
kwetu mwanza nyegezi
hmmm nyege nyege
nishushe mwanza nyegezi
oya wind your waist
njoo nipatie commando
nikupe cha mkwesi
kwa miuno ya taekwondo
asa shekele
mwendo wa kandanda
ndani ya nangwanda
sa nisongeze
leta msambwanda
nikazie ngangangaaa
(chiii!) kananivuta ghetto
nkapinge bunduki (high bunduki)
ile naogopa central
michezo ya amber rutty (amber rutty)
eeh nyege nyege
kwetu mwanza nyegezi
hmmm nyege nyege
nishushe mwanza nyegezi
eeh nyege nyege
kwetu mwanza nyegezi
hmmm nyege nyege
nishushe mwanza nyegezi
yaani kama mjaluo
shepu ya mombasa
hapendagi mpasuo
hatakishida basata
tepe tepe
toto kama supu teke teke (kongoro)
kwa makeke muite fally ipupa wa temeke (ndombolo)
shaku shaku ya masai (oooh masai)
kama kama nachuma papai (oooh papai)
funika funua (twendee)
bandika bandua (twendee)
anika anua (twendee)
kanipa chukua (twendee)
eeh nyege nyege
kwetu mwanza nyegezi
hmmm nyege nyege
nishushe mwanza nyegezi
eeh nyege nyege
kwetu mwanza nyegezi
hmmm nyege nyege
nishushe mwanza nyegezi
oya fiti kalikiti ti
katoto hakashikiki (oya)
kwenye bilingiti ti
huvunjaga na kiti
oooh sa iweke
ah iweke iweke… ah iweke
ipitishe kwa chini
ah iweke iweke… ah iweke
miuno ya kazi kazini
ah iweke iweke… ah iweke hii
ile ndindindii
ah iweke iweke… ah iweke
ngoja shake it bobo
ah iweke iweke… ah iweke
twende shaku kidogo
ah iweke iweke… ah iweke
chuma magimbimbi
ah iweke iweke… ah iweke
ah iweke iweke… ah iweke
كلمات أغنية عشوائية
- pereira da viola - viola enfeitada كلمات الأغنية
- a seleção - kids of the future كلمات الأغنية
- unidade punho forte - bons sonhos كلمات الأغنية
- diana - olha pra mim (não vivo sem ti) كلمات الأغنية
- senso comum - sorriso rival كلمات الأغنية
- underschool element - el dragon negro كلمات الأغنية
- nitroh - nada é tão seu كلمات الأغنية
- tião carreiro e pardinho - tenente mineirinho كلمات الأغنية
- byafra - passava por aqui كلمات الأغنية
- the cliks - complicated كلمات الأغنية