kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

raptor el shariff - kilio كلمات الأغنية

Loading...

intro

najua jua limeshazama
nami nimekwisha kuchelewa

riziki kweli mafungu saba
nami ya kw_ngu sijajaaliwa

sio kama hatupendani
ila mipango haiendani
utabaki kuwa my no one
ij_pokuwa hatuoani

chorus

hiki kilio mama kilio x3
ulochomeka ni moyo w_ngu
milele ungekuwa w_ngu mmh

outro

tuloyapanga hayajafana
ni bora heri tungezikana

uzae tuwe baba na mama
ningali bado niko kijana
haya maisha yalisababisha mwenzako naisha ( aaaa)
yanikinaisha napata tabu namalizika (aaaa)

ni bora niende chini mimi
ni bora niende chini mimi
nikiishi siwezi kuwa mimi

chorus

hiki kilio mama kilio x3
ulochomeka ni moyo w_ngu

( to be continued )

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...