
rapcha - umefanana nae كلمات أغنية
baby today lemme talk you
kwakua nakupenda sana ni salama sana ujue the truth
please vumilia utasahau na ili mimi niwe free leo nita comfess tu
ex w_ngu umefanana nae sana yani mpaka majina
kwanzia sauti sura shape umemzidi kiana
tulikuwa deep sana ila mwenendo ulinishinda
tuliachana ila kibaya hatukuachana mazima
ex w_ngu bado ananiaminia
napokuwa nae hata mtu wake simu anamkatia
anaeza vimba kwa watu kuwa hanipendi ananchukia..
k_mbe bado ananicare na kila usiku ananipigia…
kuna angle ye ananipatia
nkiwa na shida simu moja kwa ex w_ngu chap anaitatua
iwe snapchat, tiktok au status
ananatamba yuko mapenzini ila cha ajabu nikikupost namshtua..
dah! ananiteka vyepesi
anaelewa nikiwa happy na nikiwa na nikiwa na stress
huwa tunapasha viporo fresh
nahisi ananitajaga jina hata akiwa na bwanaake wana se…x yes
hiyo ni technical problem baby
ka ukifanya nimsahau kabisa utakua umeniokoa
asije akalea wanangu kwenye ndoa yake hilo doa
let’s play fair my baby
basi nitajitahidi k_msahau
shida mmefanana sana kila ntapokuona nitammiss
na umeshajua ukweli utaanza kunihisi
nacheat nae
na mi kukuaminisha sina jinsi
na tena ndo ushamjua mbaya wako hata ukiona namba mpya inanicheck
hutouliza who is this!?
babe i need peace in ma heart
i don’t wanna play dirty games anymore
trust me please, i’m sorry!
written and performed by rapcha
كلمات أغنية عشوائية
- the kaden made - start over again كلمات أغنية
- dooz kawa - me faire la belle كلمات أغنية
- pan und artist - intro كلمات أغنية
- galman - pas l'time كلمات أغنية
- dogger - tonight's for you كلمات أغنية
- wordplay t. jay - roger كلمات أغنية
- clay maskin - life is كلمات أغنية
- lsg (r&b) - wavy stroke كلمات أغنية
- the shacks - orchids كلمات أغنية
- bokoty كلمات أغنية