rapcha - kisanga freestyle كلمات الأغنية
jana njaa imenipiga nusu kuniua
sema getto hamna friji ningepata hata ka juice unajua
baisa aliacha buku mezani
nikasmile kisha nkajivuta kwa muha
nipate j_po hata vitumbua
afu nkak_mbuka juzi kuna deal niliipata nkamwambia mwana leo ntatua
hapa ndo nna buku tu hesabu ishazingua
sasa niifanye nauli ama msosi, bwana dar kuna jua!
nkaona okay isiwe tabu jero acha niupe mwili nguvu kwanza hayo mengine mbele ntajua
nkavuta trouser nkavaa
ile shati ambayo siipendi ndio safi zile nzuri zote sijafua
nkaishi nalo tu afu nkachafua
naingia zangu kwenye gari mlangoni konda ananisanua
kuna siti moja empty ilobakia ipo pale kati sema mwana una bahati unajua
nkamwelewa pale macho yalipotua kwenye siti iliobakia ah we leo mtanitambua
huyo demu alivyo mzuri jua
hata dem mwenzie angemuona angetamani kuwa mwanaume unajua
dem mzuri kama huyuu kwenye daladala anatafuta nini, inaweza ikawa mitego unajua
ah bwana ee mbona mi mwenyewe ni msanii nashangaa mjini hela ya kula tu inaizingua
nkampa mambo, dada mbona kinyonge hauna bando
haifai ukiwa hivyo we mrembo unajua
akajibu poa, uchovu un_z_ngua tu kaka afu umesahau funga zipu ya suruali unajua
eh hilo jicho nlivyotumbua
nikaifunga nikakaa kinyonge kiherehere kishaniumbua!
sa nkawaza, huyu mtoto dafu ntafua
nijiangushe ndani ya k_mi na nane au nabutua
afu kwanza hela yenyewe sina unajua
mrembo kama huyu napata wapi nguvu ya k_msumbua
ah sista we mkarimu sana nmegundua
tujuane majina ukute sie ni ndugu hatujajua
naitwa perry, perry perpetua
ushaniperpertuate mpaka hapa we hujajua
nkaanza kujipokelesha ma simu
akatupa jicho kwenye simu akaona jina _n_lolijua
huyo ni fa? khaa! k_mbe nani ukajua
ni bro angu ukinijua mimi umemjua
nkajipokelesha simu nyingine
kasoma jina vanessa mdee, kaka huyo nae unamjua
nkambia hiii, dada sio eti namjua tunajuana
we ishi na mimi mbona hata rotimi atakujua
naitwa rapcha mtata
mzee wa kufanya wanafyata
huko kote wananipata swadakta
nakulaga bata masaki osterbay na tabata
ukinikuta na hela utanitaka!
k_mbe we star ndo najua
ah tatizo upo slow sana dada umechelewa kunijua
nkachukua point tatu mjuba
nishapitiliza nlipokua nashukia vituo kama tisa unaambiwa
nkampa simu aandike namba akachukua
hajaisave ikazima chaji huu si ndo uchawi unajua
akanambia hapa mi ndo nashukia
na baba yupo kituoni ndo amekuja kunichukua
macho yalinitoka
akashuka anatingisha hata nguvu ya k_mtamani nilikosa unaambiwa
jero langu nishalipia ntafikaje nlipokua naenda kwenye deal nishachelewa!
ile natupa macho pale mtoto aliposhukia
naona sura ya mzee kama na mjua
afu macho yakakutana akatabasamu kwa bashasha
nkaona nshuke huenda akanisave unajua
sasa yule mzee alipo nkaanza kusogea yule manzi nae akawa anasogea
mzee akafunguka perry naona umeongozana na binamu yako sikujua kama unamjua
nguvu ziliniisha unajua
ah mzee shkamoo, marahaba eh rapcha umekua
juzi tu ulikua mtoto nlikupeleka jando wakakukata govi saivi ushaanza masebene itakua
ah k_mbe huyo dem ni mtoto wa ba mdogo
bwana usimvae mtu usiemjua
nikimcheki tunatazamana tunacheka chinichini najiuliza vipi ningebutua
basi ndo ivo mzee akanipa nauli ya kurudia na hii ndo story nzima ilivyokua
كلمات أغنية عشوائية
- machine gun kelly - smoke hard (freestyle) كلمات الأغنية
- ashes - hin كلمات الأغنية
- e-dubble - wake كلمات الأغنية
- scandinavian music group - 2051 كلمات الأغنية
- jade bird - madeline كلمات الأغنية
- warfaze - harie tomake كلمات الأغنية
- citipointe worship - redeemed كلمات الأغنية
- la húngara - vete de mi vera كلمات الأغنية
- ricky gianco - navigare (versione 2000) كلمات الأغنية
- romeofoxtrott - memories كلمات الأغنية