kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rapcha - kilio chetu كلمات أغنية

Loading...

n_z_ haziwezi digest

i’m just being curious, i wanna know a lot about s_x

yani nini kiko behind s_x

why maisha ya mwana damu yametawaliwa sana na s_x

huwa naskia watu wakicomplain wasanii kila siku wanatuimbia ngono

ila mbona hata sisi kwenye vichwa vyetu haipiti lisaa bila akili kuiwaza ngono

amkia social media tu kwenye memes kama k_mi kuna tano zinahusisha ngono

au kwanini unapogombana na mtu tusi kali atalokupa mara nyingi litahusisha ngono

okay, watu wanafanya ngono ili wapate kazi

na wengine wanaendekeza ngono wanapoteza kazi

wengine hawana kazi ngono wanaifanya kazi

kwa wengine ni starehe baada ya k_maliza kazi

ni ngumu kusubiri hadi ukubwani
ikiwa wakubwa wanaipromote sana daily na wanamsingizia shetani

ukipitiwa mara mbili na shetani jua shetani hawezi kwenda bila wewe kwahyo wewe ndo shetani

people k!ll kwasababu ya monеy

na mara nyingi pichu hazivuki bila money, mtaani

ugumu wa maisha tuko matatani

ila inafika mahali mtu anachagua s_x over monеy

starehe yake sio bubble gum

sijawahi kutosheka ngono tangu siku nimeionja first time

inakuchosha ila unajikaza halafu hata uifanye vipi now utataka tena next time

nlitamani kuonja ngono maana nkiwa 15 tayari nlikua na taarifa zake nyingi in my head

lost my virginity kwa dada aliyenizidi miaka zaidi ya 30 naamini mungu ashasamehe

nimefeli kuanza mahusiano mengi kwasababu niliongea sana kuhusu s_x kwenye talking stage

demu anaeza play hard to get na unakuja kugundua kuwa ye ni s_x addict toka under age
mahusiano mengi sana yapo tu kufurahishana

ukitoa s_x hamna kitu mnaezahusiana

inabidi kwanza shida zije muanze kujuana

shida zinakuja ikiwa tayari mmeshakolezana

toxic relationship ingenitoa uhai kwa sababu tu ya namna kwenye ngono tulivibe sana

ishi ukik_mbuka kuna watu wana password za mwili wa mpenzi wako zote kabla hamjakutana

s_x iko very very spiritual

na kuna wenzako wengi wanafanya s_x kama ritual

wengi wakifika njia panda wanaenda both ways nowdays

keep that story for a few days

i’m just praying for a new day

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...