kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rapcha - aviator lyrics

Loading...

rose, fetty, nancy, wande

niko na appointment nyingi zote in one day

tunameet sehem tofauti wote in one day

sijui ka ntamaliza kazi zote in one day

xes, job, ganzi, monde

24 hours vichwa viko nduki, konde

make more on sat_rday ninarest one day

make more money on friday ninarest monday

cheque cheque

stake stake

mkeka mkeka

bet bet

aviator
jet jet

take it take it

take take

yeaah

kazi na dawa

kazi na dawa

kazi na dawa

kazi na dawa

achana na dow

nipo okay (uh huh)

nipo moshi (uh huh)

nipo high (uh huh)

nipo race (uh huh)
ukinikata stimu (uh huh)

utanunua keshi (uh huh)

nataka bеbe mtafutaji sitaki mikosi (uh huh)

hayo maufundi peleka veta nataka cash (uh huh)

muda hautoshi (uh huh)

acha gozi gozi (uh huh)

usinitafutе (uh huh)

nipo busy (uh huh)

ka mshale wa saa (uh huh)

nipo busy (uh huh)

yeaah

kazi na dawa

kazi na dawa
kazi na dawa

kazi na dawa

rose, fetty, nancy, wande

niko na appointment nyingi zote in one day

tunameet sehem tofauti wote in one day

sijui ka ntamaliza kazi zote in one day

xes, job, ganzi, monde

24 hours vichwa viko nduki, konde

make more on sat_rday ninarest one day

make more money on friday ninarest monday

achana na dow

nipo okay (uh huh)

nipo moshi (uh huh)

nipo high (uh huh)

nipo race (uh huh)

ukinikata stimu (uh huh)

utanunua keshi (uh huh)

nataka bebe mtafutaji sitaki mikosi (uh huh)

hayo maufundi peleka veta nataka cash (uh huh)

muda hautoshi (uh huh)

acha gozi gozi (uh huh)

usinitafute (uh huh)

nipo busy (uh huh)

ka mshale wa saa (uh huh)

nipo busy (uh huh)

yeaah

kazi na dawa

kazi na dawa

kazi na dawa

kazi na dawa

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...