kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rambatayo - kama 2pac كلمات أغنية

Loading...

[intro]
yoh
aii aii
aii aii
(mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac)

[chorus]
mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac
mi nadai tu kuzoza kama tupac
ukiskia nikiroga manze buda ni ki_boom bap
mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac
mi nadai tu kuzoza kama tupac
ukiskia nikiroga manze buda ni ki_boom bap

[verse 1]
mi nadai tu kuzoza kama tupac
left to the right kila mtu anabanjuka
huwezi leta ujinga juu, utajuta
hata ukuwe wapi si mi nitakukuta
na si mchezo niko sharp kama shoka
lines ni moto, hadi beat inatoka
mi hu_spit, juu ni ganji inabonga
wanasema “rambatayo, we ndo donga!”
[verse 2]
niko kwa grind manze buda siezi back down
mi ni solid ka stone, manze huwezi knock down
flow ni fresh hadi oldies wana watch out
niki_drop lines, ghost writers wana run out
na si flex, niliku_show niko top n_gga
hawa ma_newbie wameshindwa joh ku_configire
wanashinda tu kwa dm wanadai feature
guess what? i’m the real n_gga!

[chorus]
mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac
mi nadai tu kuzoza kama tupac
ukiskia nikiroga manze buda ni ki_boom bap
mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac
mi nadai tu kuzoza kama tupac
ukiskia nikiroga manze buda ni ki_boom bap

[verse 3]
wannabe huwezi be like me
bigman g, wananiitaga mvp
step like me, ndio uwache kuni_envy please
really? unadai tu ku_beef na mi? ok
manze buda sitaki ngori gee
but, si ka unadai ulete hiyo mbogi please
na, niliku_show nani top kwa shii
nani mwengine manze buda anaifanya ka mi?
[verse 4]
na ukileta ufala unachuja
ngwai mi na_set, si inatoka juja
ni_call ama ni_text baadaye nitakuvutia
sometimes unani_mess, na niko mapilka
guess leo nani chef, kwa stu_
we umeshinda umejiweka tu
basi kila mtu mkono juu
turuke tu twende, hivyo tu

[chorus]
mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac
mi nadai tu kuzoza kama tupac
ukiskia nikiroga manze buda ni ki_boom bap
mi nadai tu kuzoza kama tupac
mi nadai kuzoza kama tupac
mi nadai tu kuzoza kama tupac
ukiskia nikiroga manze buda ni ki_boom bap

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...