kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rama dee - protocol (protokali) كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
nafata protocol, protokali

[verse 1]
nimekaa jela nyingi za mapenzi
kwako nimepata uhuru
kwenye kiza kinene, ukatokea nuru
mateso mengi nimepata
nashukuru nipo huru, woah
kwenye kiza kinene, ukatokea nuru
pepo kali zinavuma
nifiche kwenye pwani ya huba
hey
mbali na dhoruba, nikugande mama kama ruba
hey
ujana mwingi pupa, nahisi nimezaliwa upya
hey
kwenye kiza kinene, ukatokea nuru
mateso mengi nimepata
nashukuru nipo huru, woah

[chorus]
oh
nafata protocol, protokali
(protokali)
nikiwa na mtoto, ‘mtoto mkali
(mtoto mkali)
oh, nafata protocol, protokali
(protokali)
nikiwa na mtoto, ‘mtoto mkali
(mtoto mkali)
[post_chorus]
nampa kitu anapendaga, eh
ndio kitu napendaga he, hey
nampa kitu anapendaga, eh
ndio kitu napendaga he, hey

[verse 2]
raha kula vyako bila wasiwasi
ladha yako haina mfano
za kwao hazifati
and you know, oh
kutwa mara tatu, ‘wito
kutwa mara tatu, ‘we go
we go harder, ‘nawe, dada
umeni_murder
na nataka ujue kinacho nikosha kwako, dada
he
rangi yako ya dhahabu, mjeledi
ina nisulubu kweli, hivi deadly
na haujipangi sana, upo ready
nnapo kuhitaji popote, upo ready

[bridge]
kwenye kiza kinene, ukatokea nuru
mateso mengi nimepata
nashukuru nipo huru, woah
[chorus]
oh
nafata protocol, protokali
(protokali)
nikiwa na mtoto, ‘mtoto mkali
(mtoto mkali)
oh, nafata protocol, protokali
(protokali)
nikiwa na mtoto, ‘mtoto mkali
(mtoto mkali)

[post_chorus]
nampa kitu anapendaga, eh
ndio kitu napendaga he, hey
nampa kitu anapendaga, eh
ndio kitu napendaga he, hey

[chorus]
oh
nafata protocol, protokali
(protokali)
nikiwa na mtoto, ‘mtoto mkali
(mtoto mkali)
oh, nafata protocol, protokali
(protokali)
nikiwa na mtoto, ‘mtoto mkali

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...