
rama dee - najielezea (acoustic) كلمات أغنية
[intro]
we_we, we, ndio my passion, dada
we_we, we, ndio my sweet, my lover
we_we, we, hata ukiwa mchachu ni ladha
[?]
[verse 1]
mi sikatai mapenzi yangu yapo kwako hiyo ni sawa
na nnachokupa baada ya muda, mbona chaota mbawa?
you know i’m in love, ‘nafika, mi kwako sina mbawa
madhaifu yako nabeba, si uchafu, siwezi nawa
[pre_chorus]
venye unataka, ‘it’s okay
as long as my heart is open
tusirudi nyuma, tusonge
i’mma ‘drunk in love, in your love, yeah
[bridge]
we_we, we, ndio my passion, dada
we_we, we, ndio my sweet, my lover
we_we, we, hata ukiwa mchachu ni ladha
oh, nai
[chorus]
najisikia kama
najielezea
(najielezea)
najisikia kama
najielezea
(najielezea)
(sana kwako)
[verse 2]
mambo mengine ni wazi
don’t hide things
najielezea sana, yes i see
kwa mapendo, nakupenda ‘yes, that’s real
ooh, ooh
you’re my sweet potato, wala sihisi mateso
sio hii leo wala kesho
(hii leo wala kesho)
[pre_chorus]
venye unataka, ‘it’s okay
as long as my heart is open
tusirudi nyuma, tusonge
i’mma ‘drunk in love, in your love, yeah
[bridge]
we_we, we, ndio my passion, dada
we_we, we, ndio my sweet, my lover
we_we, we, hata ukiwa mchachu ni ladha
oh, nai
[chorus]
najisikia kama
najielezea
(najielezea)
najisikia kama
najielezea
(najielezea)
(sana kwako)
[outro]
we_we, we, ndio my passion, dada
we_we, we, ndio my sweet, my lover
we_we, we, hata ukiwa mchachu ni ladha
كلمات أغنية عشوائية
- amal hijazi - zalem - ظالم كلمات أغنية
- holy wars - body//temple كلمات أغنية
- chanielle - neustart كلمات أغنية
- sam baby - vision كلمات أغنية
- חוה אלברשטיין - od lo - עוד לא - hava alberstein كلمات أغنية
- райга (raiga) - путь до дома ( way home) كلمات أغنية
- חוה אלברשטיין - sheva - שבע - hava alberstein كلمات أغنية
- humana - broadcast كلمات أغنية
- austin willacy - saw you in the light كلمات أغنية
- jaakko eino kalevi - palace in my head كلمات أغنية