rama dee - kipenda roho (dance remix) كلمات الأغنية
[intro]
(and the_)
[verse 1]
mw_nga umefanya watuone, wakosoe
ni somo tu
chombo kwenye maji lake jua
yake mvua, safari tu
ooh
kwenye mvua, ‘matope, sio ndumba, oh
yasikufanye uchoke
mchumba, oh
wanapanga maneno kama chati za k_mi bora
kuupima upendo ni hatari
[chorus]
mbele tunaona vita
kipenda roho, roho yangu
nishike mkono kuyapita
kipenda roho, roho yangu
tulishinde lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lisitimie
tulishinde lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lisitimie
[verse 2]
ukitazama malengo, haukosei
haupotei, ‘kwenye love
wema uishi nao, sweet my love
ahadi ya wawili kuitunza siri
chunga mbuzi hanuki
hizi stori
si za kweli, baby
angalau tone moja liende
mimi na pеnzi, sitaraji
[chorus]
mbele tunaona vita
kipenda roho, roho yangu
nishikе mkono kuyapita
kipenda roho, roho yangu
tulishinde lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lisitimie
tulishinde lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lisitimie
[bridge]
for the first time, kusikia amani, ndani ya maisha yangu
you’re my angel
tusimame, baby
[post_chorus]
tulishinde lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lisitimie
(tusimame, baby)
tulishinde lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lisitimie
[za?]
(tulishinde lengo, lao, lao)
(lao, lao)
lao, lao
(lao, lao, lisitimie)
tulichopanga, baby
(lao, lao)
mimi nawe
(lao, lao)
oh, no
(lao, lao, lisitimie)
[outro]
chunga mbuzi hanuki
hizi stori
si za kweli, baby
كلمات أغنية عشوائية
- d.masta - marathon كلمات الأغنية
- 平手友梨奈 (yurina hirate) - 山手線 (yamanote line) كلمات الأغنية
- seven j - joseph & his coat of many colors كلمات الأغنية
- b!ddy - things that lovers do كلمات الأغنية
- kangta - 오늘같이 이런 창밖이 좋아 (rainy day) كلمات الأغنية
- jerry vale - the christmas song كلمات الأغنية
- stik op - swazi guld كلمات الأغنية
- my name is speen too - wilbur soot loses it - your new boyfriend ytp كلمات الأغنية
- surf - honesty كلمات الأغنية
- rpt groovie - xích thêm chút كلمات الأغنية