rama dee - furaha yetu كلمات الأغنية
(instrumentals)
[intro]
mmm,mm
mmm
[?]
mmm
[verse 1]
furaha yako weh
furaha yangu moyoni
furaha yako weh
tabasamu usoni
epuka mashari, na ‘be happy, kipenzi
hii ndio love, tu_enjoy, hey
ukichoka hapa, twende mbali kwa safari
ma holiday ilete kwetu ma smile
[pre_chorus]
tabasamu, weh, eh_eh
hasira sumu, na [?]
waringie, eh_eh
thamani yako ni taa
oh, ooh
[chorus]
(furaha)
tuwe [?]
furaha
tuishi kwa
(furaha)
tucheze kwa
(furaha)
furaha, furaha
(furaha)
tuwe [?]
(furaha)
tuishi kwa
(furaha)
tucheze kwa
(furaha)
furaha, furaha
[verse 2]
ka una muda leo tufurahi
amini, zawadi kubwa kwetu ni uhai
kununa, nuna, hakufai
sahau ya jana, furahia leo
tuongeze life
[bridge]
be happy, baby (hey)
upo kwenye njia ya pekee kwenda [?]
be happy, baby (hey)
upo kwenye njia ya pekee kwenda [?]
[pre_chorus]
tabasamu, weh, eh_eh
hasira sumu, na [?]
waringie, eh_eh
thamani yako ni taa
oh, ooh
[chorus]
(furaha)
tuwe [?]
furaha
tuishi kwa
(furaha)
tucheze kwa
(furaha)
furaha, furaha
(furaha)
tuwe [?]
(furaha)
tuishi kwa
(furaha)
tucheze kwa
(furaha)
furaha, furaha
[outro]
zawadi kubwa kwetu ni uhai
kununa, nuna, hakufai
sahau ya jana, furahia leo
tuongeze life
كلمات أغنية عشوائية
- cxpidn0ra - backstabber كلمات الأغنية
- ronggrik shira - 28+17 كلمات الأغنية
- artur blitz - снова домой (home again) كلمات الأغنية
- biper lk - al vecindario llegó كلمات الأغنية
- ashlynn malia - cool girl كلمات الأغنية
- melis karaduman - zamansız كلمات الأغنية
- encore - amy كلمات الأغنية
- reyes peralta - damn habit كلمات الأغنية
- octo - allyoucaneat كلمات الأغنية
- moebio - geometría del alma كلمات الأغنية