quafff - naskiza reggae كلمات الأغنية
chad on the beat
quafff waddup
niko kwa kinyozi, na sinyolewi
nimetulia naskiza tu reggae
(reggae, reggae eh!)
niko kwa mat
nimefika stage yangu lakini sishuki
naskiza tu reggae
(reggae, reggae eh!)
niko kwa majani kwa vaite lakini sichani
nimebangaiza naskiza tu reggae
(reggae, reggae eh!)
naskiza daily reggae mziki wa wanaya
niwe depressed au sawa, nitauskiza bila haya
eti bongo iliniponya, hapo sitawadanganya
ni reggae all day, forever nitatangaza
napenda kuskiza reggae iwе morning ama noon
ngoma very tuli, no noise just cool
nikiwa hata swimo ama mih nikicheza pool
ni rеggae all day, forever be my tune
kama unapenda reggae weka kidole juu ya hewa
ruka pole pole bila pressure skiza mahewa
huku hatutaku_judge hata ukuwe jo umelewa
mziki na mafunzo ni huku tu utapewa
wikendi niko kifanjee, niki_dance tu one legee
siwezi kosa fare utanipata tu na mbegee
heri mih nikope nipate tu za ng’ede
utanipata kifaru gwethe nikiskiza tu mareggae
niko kwa kinyozi, na sinyolewi
nimetulia naskiza tu reggae
(reggae, reggae eh!)
niko kwa mat
nimefika stage yangu lakini sishuki
naskiza tu reggae
(reggae, reggae eh!)
niko kwa majani kwa vaite lakini sichani
nimebangaiza naskiza tu reggae
(reggae, reggae eh!)
i don’t need a caribbean life, for me to be a rasta man
i don’t have to be high, for me to be a rasta man
all i need is reggae music, all i need is a rasta man vibe
all i need is reggae music, for me to have a rasta man style
uliza mc gogo anajua, (reggae music again)
fyah mummah anajua, (reggae music again)
mc fullstop anajua, (reggae music again, again, again and again)
uliza mbusi anajua, (reggae music again)
uliza lion anajua, (reggae music again)
hata wyre anajua, (reggae music again, again, again and again)
niko kwa kinyozi, na sinyolewi
nimetulia naskiza tu reggae
(reggae, reggae eh!)
niko kwa mat
nimefika stage yangu lakini sishuki
naskiza tu reggae
(reggae, reggae eh!)
niko kwa majani kwa vaite lakini sichani
nimebangaiza naskiza tu reggae
(reggae, reggae eh!)
nimeland kwa movie shop
mapenzi yangu na reggae ni ka ya movie soap
nishapewa ki_movie lakini reggae move it up
ikikubamba tell selector to rewind it up
aiyaiyaiyai eh!
nishaafikishwa kwa boma eliabu nimebonda
uber sishuki naskiza reggae ndio doba
kadere we tulia usikonde nitakulipa
times two, bora nimeskiza mimi doba
eh, na siezi choka
nakula reggae baze ya jaba na mogoka, miondoko ai!
ni kuzitoka, ukuwe kwa bukla ama uko mboka enhe!
ai, na siezi choka
nakula reggae baze ya jaba na mogoka, miondoko ai!
ni kuzitoka, na zimeshika sioni masaa zikisonga
niko kwa kinyozi, na sinyolewi
nimetulia naskiza tu reggae
(reggae, reggae eh!)
niko kwa mat
nimefika stage yangu lakini sishuki
naskiza tu reggae
(reggae, reggae eh!)
niko kwa majani kwa vaite lakini sichani
nimebangaiza naskiza tu reggae
(reggae, reggae eh!)
uliza mc gogo anajua, (reggae music again)
fyah mummah anajua, (reggae music again)
mc fullstop anajua, (reggae music again, again, again and again)
uliza mbusi anajua, (reggae music again)
uliza lion anajua, (reggae music again)
hata wyre anajua, (reggae music again, again, again and again)
كلمات أغنية عشوائية
- akthesavior - another reflection freestyle كلمات الأغنية
- keke palmer - facebook stalker كلمات الأغنية
- windmills - path to pave كلمات الأغنية
- various cruelties - dry your tears كلمات الأغنية
- phynn - in your heart - radio edit كلمات الأغنية
- aivolävistys - satkynukkehuorat كلمات الأغنية
- gemitaiz - collier كلمات الأغنية
- dejay garcia - thank god كلمات الأغنية
- end up as fiction - you're so cold كلمات الأغنية
- eros ramazzotti - cose della vita (can't stop thinking of you) كلمات الأغنية