kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

q-chief - bimbilika كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
haya bimbilika, nikipiga zangu zeze
[?dax ah pon dis fire?]
leo goma tuicheze (oh)
haya bimbilika, nikipiga zangu zeze
funga kibwebwe
leo goma tuicheze
no_no, no_no, no
nah, nah, nah, njagala
no_no, no_no, no_no

[verse 1]
kwa kiasi kikubwa ‘umenipendeza
nimeona niseme mapema
maana pendo langu ndio nadhiri
na nna dunduliza na bangaiza
nipate visenti, kitoweo’ nilete kwako, ah
my baby
no_no, no_no
naona hunielewi
kama ni moto ‘umekolea
penzi langu nalichochea

[pre_chorus]
namwaga mbolea, pendo linamea
juu kidedea, najidekea
mi samaki kwenye maji
machozi yangu huwezi kuyaona
pumzi yangu, darling
ni wewе
[chorus]
haya bimbilika, nikipiga zangu zeze (zezе)
funga kibwebwe, leo goma tuicheze (tuicheze)
haya bimbilika, nikipiga zangu zeze (zeze)
funga kibwebwe, leo goma tuicheze (tuicheze)

[verse 2]
naomba usiende mbali sana
naona kama ukienda haurudi
na ndio maana popote huwapo napendaga nijue
usione kero, watu w_ngu wajue kama nakupenda kweli
na malengo na mipango nawe
[?neno ni nini?]
maneno ni mingi, ‘sipendi kukudanganya
mapenzi ya [?] waachie kina kajala
hakuna mwingine [? onane]

[pre_chorus]
namwaga mbolea, pendo linamea
juu kidedea, najidekea
mi samaki kwenye maji
machozi yangu huwezi kuyaona
pumzi yangu, darling
ni wewe

[chorus]
haya bimbilika, nikipiga zangu zeze (zeze)
funga kibwebwe, leo goma tuicheze (tuicheze)
haya bimbilika, nikipiga zangu zeze (zeze)
funga kibwebwe, leo goma tuicheze (tuicheze)
(instrumentals)

[hook]
mi samaki kwenye maji
machozi yangu huwezi kuyaona
pumzi yangu, darling
ni wewe
[outro]
haya bimbilika, nikipiga zangu zeze (zeze)
funga kibwebwe, leo goma tuicheze

leo ngoma tuicheze (tuicheze)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...