kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

prince bernard – hit me with music كلمات اغاني

Loading...

nirahisi kinywa kujawa na lawama tele pale mambo yanapoonekana hayaendi ni ajabu sana namna moyo unahangaika (kutafuta majibu)
ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba j-pokuwa mungu anaishi ndani yangu kuna muda nahofu j-pokua mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu

ahh nak-mbuka wana wa israel katika bahari ya shamu j-po walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi, kwa nyimbo nyingi waliimba na k-msifu bwana lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa yalibadilika mambo manung’uniko yalisimama na kusahau muujiza alotenda bwana mwanzo

bridge -nik-mbushe wema wako nisije laumu
nik-mbushe ukuu wako wakati wa magumu
nik-mbushe shuhuda zako ili nikusifu
niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi.

nisaidie kuk-mbuka yesu yakwamba umenichora kiganjani mwako kati ya wengi walioko duniani na mimi umeniona
nik-mbushe baba ya kwamba ni wewe umeniponya nilipoumwa
nik-mbushe yesu kwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleni
yakwamba labda ungeniacha hatua moja nisingeliweza kufika hapa nilipo yakwamba baba umenikung’uta mavumbi na kuniheshimisha
nik-mbushe yesuu, nik-mbushe baba
nik-mbushe èeeh

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...