kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

psm - kwa ajili ya wana كلمات الأغنية

Loading...

song: kwa ajili ya wana
produced by: kingdom

chorus
(hii ni kwa ajili ya wana
wanao ni support kwa sana
hata kama sina hawanidharau
from the b-ttom yeah we coming now,) ×2

hook
(from the b-ttom yeah we coming now
hii ni kwa ajili ya wana
hii ni kwa ajili ya wana
hii ni kwa ajili ya wana,)×2

verse 1
na time hii nimeamua kuongea na wana
wanangu wa mtaa wanao ishi maisha ya pambana
life is a b-tch n-gg- dont complain bout the karma
she plays two sides kaa chonjo she’s a transformer
and never mind just f-ck it hard like a winner
ma n-gg-, amka mwana maana bado unaishi kwa sababu, kwasababu, hata aliefika mbali alianza ka beginner
ma n-gg-, mshukuru mola inapoisha siku sali tubu
sali, tubu, kwasababu everybody was born a sinner
ma n-gg-, tunaamini na ndio maana tuna
tunakaza usiku na mchana
no, no, no, no kusanda tunapanga vyuma, gurudumu tunalisuk-ma
no way, no, halilali likiamka goma, wasiopenda wanaugua homa
oh ma god, kishanuka tumewasha noma, wanangu wote mmeshanisoma
hii ni kwa ajili ya wana wote wanaotaka kukata tamaa
kaza mpaka ufike hata kama yu can’t see whats around the corner

chorus
(hii ni kwa ajili ya wana
wanao ni support kwa sana
hata kama sina hawanidharau
from the b-ttom yeah we coming now,) ×2

hook
(from the b-ttom yeah we coming now
hii ni kwa ajili ya wana
hii ni kwa ajili ya wana
hii ni kwa ajili ya wana,)×2

verse 2
its for ma n-gg-s niko real n black
its for ma n-gg-s that i wrote this track
dropping flows flowing back to back
tunaposhika we must leave a mark
we make it shine even if its dark
we sustain hata kama hutaki
we on this, hatuogopi kupoteza kitu
we learn things, new things yani kila siku
by any means, tutafika hata bila viatu
tukikaza kulisaka buku, n get the meals
we gat this, mziki wetu tuna release
we gat this, tuko studio tuna get bizy
we gat this, mpaka siku tuta sign deals
we gat this, hata ukunje tuta pay bills
we gat this, we got the love, yeah we gat that peace
hii ni kwa ajili ya wana walioanguka wote, may em rest in peace

chorus
(hii ni kwa ajili ya wana
wanao ni support kwa sana
hata kama sina hawanidharau
from the b-ttom yeah we coming now,) ×2

hook
(from the b-ttom yeah we coming now
hii ni kwa ajili ya wana
hii ni kwa ajili ya wana
hii ni kwa ajili ya wana,)×2

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...