prosper kenneth - ninatamani lyrics
ulipo wewe moyo w_ngu unatamani ukae
ulipo wewe roho yangu inatamani ikae
maana we ndo njia ya ukweli na uzima
bwana
heri kuchagua jina lilo jema
kuliko mali nyingi
eeh
ninatamani nikae
uwepo mwako
ninatamani nikae
barazani pako
ninatamani nikae uweponi mwako
ninatamani nikae, nawe
ninatamani nikae
uwepo mwako
ninatamani nikae
barazani pako oouw
ninatamani nikae uweponi mwako
kwake yesu mimi nasimama aah
ndie mwamba, tena ni salama aah
kwake yesu mimi nasimama aah
ndie mwamba
utanifundisha
nakunionesha
njia ya kupita
aaiah bwana
utanishauri
jicho lako likinitazama
kwahiyo kweli yako
basi nalisema yanifaa kuwa ndani yako
ili niijue sababu ya kuishi kw_ngu
sawa nakusema yanifaa kuwa ndani yako
ili niyajue nakutenda mapenzi yako
hoouyeeee
ninatamani nikae
uwepo mwako
ninatamani nikae
barazani pako
ninatamani nikae
uweponi
hooo
hoou_o
hoou_o
mh_haa
hooo
hoou_o
hoou_o
yeee_hee_i
كلمات أغنية عشوائية
- la convalescenza - albero maestro lyrics
- we three - 3 a.m. lyrics
- lil sp6zz - unc lyrics
- el has - limbo lyrics
- k suave - besties lyrics
- jop survivors: the holy trinity unit - the kitchen is my kwangya lyrics
- profetas musical - el baboso lyrics
- frei.wild - 20 jahre seite an seite lyrics
- gomma - sentenze lyrics
- jamil - quando è buio lyrics