
prof. jay - utaniambia nini كلمات أغنية
ah kwenye mziki nilianza kabla yako
shahidi mama yako utaniambia nini?
kama moto nimekula zaidi yako
acha ngwanjala zako, utaniambia nini
kama ng’ambo tulitimba kitambo
kitambo kabla yako, utaniambia nini?
mijengoni nilikuwa na baba zako
wengine mama zako, utaniambia nini?
nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu
nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu
saa nane kazi sio chaka la maovu
ukiongelea nyota si kwetu sigara kali
game ina safari j_po tumeitoa mbali
mziki huu umenifanya niwe mbunge
nisimame imara mi k_mi kama maureen
imani yangu ilinifanya nishinde
namshukuru mwenyezi na zaidi naomba unilinde
nina siri nyingi nyeti kama taulo la gesti
ukinidelete wenzako wanarequest
nilishasema ngoma ya watoto haikeshi
leo jay namada nak_malizia kesi
watoto wanavimba kama milisho amira
wanaume pisi kali mashauzi kama jamila
20 ina maana gani kama mnapoteza dira
mziki kwetu ajira udwanzi unanipa hasira
ah kwenyе mziki nilianza kabla yako
shahidi mama yako utaniambia nini?
kama moto nimekula zaidi yako
acha ngwanjala zako, utaniambia nini
kama ng’ambo tulitimba kitambo
kitambo kabla yako, utaniambia nini?
mijengoni nilikuwa na baba zako
wenginе mama zako, utaniambia nini?
na kuja mnavuma na kupotea kama upepo
hiki kipaji hazina ya maisha ya kesho
wengi mnanyea mkono usiukate bali nauosha na jua
mkikua mtajua wapi mlikosa
mnasahau sicha cha kuku daima hakibebi mzigo
sasa vipi jina dogo tu leo mnaanza zogo
kimya cha mziki inanuka, maneno yake yananuka
nakuonya kama una jicho la tatu ona
chezea mshahara dogo usichezee kazi
kabla hujanisema jichoni mwako toa kibanzi
wengi mnajiita wanaharakati k_mbe waoga
kama kunguru hanenepi kwa jalala moja
watoto wanavimba kama milisho amira
wanaume pisi kali mashauzi kama jamila
20 ina maana gani kama mnapoteza dira
mziki kwetu ajira udwanzi unanipa hasira
ah kwenye mziki nilianza kabla yako
shahidi mama yako utaniambia nini?
kama moto nimekula zaidi yako
acha ngwanjala zako, utaniambia nini
kama ng’ambo tulitimba kitambo
kitambo kabla yako, utaniambia nini?
mijengoni nilikuwa na baba zako
wengine mama zako, utaniambia nini?
sikubali wanitune kama remote control
i make sure everything remains roll
najitoa kafara nife na tai shingoni
machozi mengi machoni badala ya fedha mf_koni
utaniambia nini?
utaniambia nini?
bin laden!!!
كلمات أغنية عشوائية
- brielle - energy (interlude) كلمات أغنية
- quando rondo - get down كلمات أغنية
- julian calor - silence كلمات أغنية
- molle 50 - molle 50 كلمات أغنية
- funniflix - no respect كلمات أغنية
- don xhoni - freestyle (diversitet) كلمات أغنية
- gianer - porque quiero كلمات أغنية
- pardo (italia) - meglio di no كلمات أغنية
- narf jay - date por facetime كلمات أغنية
- school portraits - front hill كلمات أغنية