![kalimah.top](https://kalimah.top/extra/logo.png)
prof. jay - nang'atuka كلمات الأغنية
Loading...
yeah
napiga goti natubu
kwa mungu w_ngu na jamii
nimefanya mambo mengi
kwa kutumia cheo
naamini cheo dhamana
nisamehe nisamehe
nang’atuka nimeshaikosea jamii nikajiita mungu mtu nikajiita nabii
mwenyeenzi k_mbuka na nafsi hii
napiga goti natubu daima nitakusihi
nang’atuka nimeshaikosea jamii
nikajiita mungu mtu nikajiita nabii
muda sasa umewadia ndugu zangu watanzania
mambo niliyoyafanya hayapaswi kusimuliwa
tangu nilipoomba kura kwenye ndio mzee
mkanipa na kusababsha uchumi ulegee
kura zikawa kula nikaishi kwa mlungula taratubu nikaanza kubadili mfumo na sura
nasisitiza sana masuala ya ajira
k_mbe uongo nikaanza kugawa vyeo kwa hila
hata mashori w_ngu niliweka mataahira na kusababsha uongozi w_ngu upoteze dira
كلمات أغنية عشوائية
- kris the $pirit - getaway كلمات الأغنية
- sewon - full focus كلمات الأغنية
- yuxu - qul və şah كلمات الأغنية
- war*hall - keep living it up كلمات الأغنية
- shy g - you (all i need is) كلمات الأغنية
- boss95 - raconte كلمات الأغنية
- sir fuge - yargıla beni كلمات الأغنية
- cyndi wang (王心凌) - my! cyndi! كلمات الأغنية
- coldheartedsavage - dying slow كلمات الأغنية
- demolition train - headcrush كلمات الأغنية