kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

prince danniel - ni neema كلمات أغنية

Loading...

vers 1

ulibadili ile hali ya kua mpweke kiundani ukafanya mpya amani wanadamu wakashangaa..
ulimpo nitoa kwenye giza bwana wanadamu wakabaki jiuliza vipi amefika hapa wakati tuliziba milango
nimetoka kwenye jua lile liloniwakia moyoni.. maumivu dharau shida masimango..

bridge_

ulivyo nitoa chini (ukanibariki)
shida za mwilini (ukaziondoa)
na walipo nichoma (ukanifariji)
nikainuaaa sasa nashukuru..

chorus_

ni neema ni neema ni neema
kua hapa kuna wengine hawaj_pafikia. sio kwamba mimi ni mwema
ni neema ni neema ni neema
kua hai kuna wengine wameshapotea . sio kwamba mimi ni mwema

vers 2

yesu ungelikua mwanadamu ningeshakuf_ga..
yesu ungetalitazama maisha yangu
ungeshanifutaga
thamani ya mwanadamu kwenye dunia imebebwa na kitu
thamani ya mwanadamu kwenye dunia imebebwa na vitu
ilianzia edeni ulipofanyika ubaya kutoka kwa kaini bila uoga baba…
ila ukujali hayo ukasamehe ukarudisha upendo baba
bridge_

ulivyo nitoa chini (ukanibariki)
shida za mwilini (ukaziondoa)
na walipo nichoma (ukanifariji)
nikainuaaa sasa nashukuru..

chorus_

ni neema ni neema ni neema
kua hapa kuna wengine hawaj_pafikia. sio kwamba mimi ni mwema
ni neema ni neema ni neema
kua hai kuna wengine wameshapotea . sio kwamba mimi ni mwema

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...