
prince d - roho inauma كلمات أغنية
ah, heeh
atchu! tchu tchu tchu
yea, it′s another prince d prod
prince d
oh oh oh oh oh, mama
roho yangu ina uma
sijuwi nita fanya jje
roho yangu ina uma, mamma
matatizo yangu yame zidi imani yangu
nimu lilie nani?
mbona hakuna
uchungu mbona ni kwa wingi, sana
roho yangu, eh
ona ina uma sana
zaidi hata ya imani ninayo, oh
mbona ni shida sana
dunia shida, oh shida sana
oh oh, oh oh shida sana
eh eh
nime ambiliwa ni vumilie
ila matatizo yangu
yazidi imani yangu
eh eh
nime ambiliwa ni vumilie
ila tatizo zangu
zazidi imani yangu
niende wapi mimi mbona hakuna
roho yangu ina uma, ah
hakuna waku tuliza
nani waku tuliza
roho yangu inayo uma, ah ah
roho yangu ina uma, ah
hakuna waku tuliza
nani waku tuliza
roho yangu inayo uma, ah
roho yangu ina uma, ah ah
hakuna waku tuliza
nani waku tuliza
roho yangu inapo uma
roho yangu ina uma, oh oh
hakuna waku tuliza
nani waku tuliza
ni mungu tu hakuna mwengine, eh
nalia baba, eh
tatizo zangu naleta kwako
nalia baba, eh
shida zangu naleta kwako, baba eheh
كلمات أغنية عشوائية
- lene lovich - savages كلمات أغنية
- legion of the damned - cult of the dead كلمات أغنية
- lemon demon - treasure map كلمات أغنية
- libera - new day كلمات أغنية
- limbeck - big drag كلمات أغنية
- lene lovich - what will i do without you كلمات أغنية
- lightning hopkins - fugitive blues كلمات أغنية
- legion of the damned - infernal wrath كلمات أغنية
- libera - be still my soul كلمات أغنية
- limbeck - i saw you laughing كلمات أغنية