
polycarp otieno - lala toto lala كلمات أغنية
[verse 1]
wamemchukua
kutoka mikono yangu
serikali yaungana
watu wasio watu
wameninyanganya mtoto
toka mikono yangu
serikali ya wezi
na watu wasio utu
[chorus]
mawingu yametanda
kaburi imeshukishwa
kasisi akasema
nenda salama, nenda
lala, mtoto lala
lala, mtoto lala
[verse 2]
rest easy, knowing
we won’t forget
we chant your name
rest easy
we will fight again
you are not in vain
peace to the fallen
freedom is calling
lift our voices
tell, our stories
[chorus]
mawingu yametanda
kaburi imeshukishwa
kasisi amesema (akasema)
nenda salama, nenda
lala, mtoto lala
lala, mtoto lala (uuuu)
haki inakuja, lala
lala, mtoto lala
[outro]
mawingu yametanda
kaburi imeshukishwa
kasisi amesema
nenda salama, nenda
lala, mtoto lala
(lala, mtoto lala, mtoto lala)
lala, mtoto lala
(lala, mtoto lala, mtoto lala)
haki inakuja, lala
(mtoto lala, mtoto lala)
lala, mtoto lala
(lala, mtoto lala, mtoto lala)
كلمات أغنية عشوائية
- dimal euphony - in remembrance of a shroud كلمات أغنية
- dimal euphony - mistress tears كلمات أغنية
- dillinger four - folk song كلمات أغنية
- dillinger four - bitethecurbbitethecurb كلمات أغنية
- dillinger four - shut your little trap inc. كلمات أغنية
- dillinger four - holy shit كلمات أغنية
- dillinger four - hand made hard times handed back كلمات أغنية
- dillinger four - shiny things is good كلمات أغنية
- dillinger four - honey i shit the hot tub كلمات أغنية
- dillinger four - file under adult urban contemporary كلمات أغنية