pilipili - morale كلمات الأغنية
chorus (pilipili)
nina morale
sista si usare
nina morale
wacha katambe
nina morale
usinihande
nina morale
wacha katambe
verse 1 (pilipili)
kejani nikicheki soccer na mabeste
kati ya -rs-nal na manchester
kwa tenje
ngoma zikibamba ah
marabu reggae funki na magenge
basi kwa mlango kasikia wembhe
kufungulia dame w-ngu tamtam
cover vipoa kupigwa mahamham
za k-mdai hizo vitu tamtam
vipi mama
unanibamba
na mavitu tamtatam
hebu kamkam
nina mahamham
ya kuzinyamnyam
ukinipazamzazam
nitazinyamnyam
chorus (pilipili)
nina morale
sista si usare
nina morale
wacha katambe
nina morale
usinihande
nina morale
wacha katambe
nina morale
sista si usare
nina morale
wacha katambe
nina morale
usinihande
nina morale
wacha katambe
verse 2 (pilipili)
tangu hii sista umemea mapembe
unanibeba fala malenge
nikikudai, sista usinilenge
nina morale, wacha nikulambe
mimi na wewe tu-tupendane
tusihanye, mdudu usitupate
songa karibu, sista usijigambe
zitoe zote dada katambe
vipi mama
unanibamba
na mavitu tamtatam hebu kamkam
nina mahamham
ya kuzinyamnyam
ukinipazamzazam
nitazinyamnyam
chorus (pilipili)
nina morale
sista si usare
nina morale
wacha katambe
nina morale
usinihande
nina morale
wacha katambe
nina morale
sista si usare
nina morale
wacha katambe
nina morale
usinihande
nina morale
wacha katambe
verse 3 (ratatat)
acha zako kam hapa
kam haraka nikuhande
acha nare
utamaliza hii kwani
songa hiyo mgongo niikande
ununue mafuta nikupake kila upande
kama hutaki
basi mi pia mi sikutaki
man u ama -rs-nal
bado bao hazihati
fanya haraka toa mpira kwenye kabati
morale ikifika jua hauna bahati
nina morale
nina morale
nina morale
acha katambe
nina morale
nina morale
nina morale
acha katambe
(pilipili)
si usare, eeh
si usare, eeh
si usareee
ni beat ya clemo si usare
inafanya mafans wavue masuruali
wanashika nare
wana morale
wanashtuka shtuka si usare
(calif records)
si usare
(tena ya ndani)
wana morale
(calif records)
si usare
(tena ya ndani)
wana morale
كلمات أغنية عشوائية
- hasker da - signals from above كلمات الأغنية
- hasker da - something i learned today كلمات الأغنية
- hasker da - somewhere كلمات الأغنية
- hasker da - standing in the rain كلمات الأغنية
- hasker da - sorry somehow كلمات الأغنية
- hasker da - target كلمات الأغنية
- hasker da - sunshine superman كلمات الأغنية
- hasker da - tell you why tomorrow كلمات الأغنية
- hasker da - terms of psychic warfare كلمات الأغنية
- hasker da - the biggest lie كلمات الأغنية