
phy - una manzi lyrics
mrefu kama mlingoti
tamu kama mshikaki
nakucheki
pale pale
mweusi kama my coffee
mtanashati ooh baby nakucheki
pale pale
…
sijazoea kufanya hivi
niambie
sijazoea kufanya hivi
niambie
…
una manzi or can i have your number -2
kama una mimi najitolea
una manzi of can i have your number
can i have your number
can i have your number
can i have your number
…
twende uki niruhusu, nikakupige busu
nakucheki pale pale.
wazazi wakikubali, twende zetu tumarry
nakucheki pale mbele
…
sijazoea kufanya hivi
niambie
sijazoea kufanya hivi
niambie
…
una manzi or can i have your number -2
kama una mimi najitolea
una manzi of can i have your number
can i have your number
can i have your number
can i have your number
swaga yako baby balaa,
unafanya mimi fala
nakucheki pale pale
swaga yako baby balaa,
unafanya mimi fala
nakucheki pale pale
sijazoea kufanya hivi
niambie
sijazoea kufanya hivi
niambie
…
una manzi or can i have your number -2
kama una mimi najitolea
una manzi of can i have your number
can i have your number
can i have your number
can i have your number
Random Lyrics
- little red rum - the night of the little red rum lyrics
- sarkodie - happy day lyrics
- ravenword - life is in your hands lyrics
- bocar - hurricane lyrics
- black stone cherry - live this way lyrics
- omen zenekar - kísértetek órája lyrics
- ejiza - постирония lyrics
- majkelson - minecraft lyrics
- kay-ara - god mc lyrics
- allie zarazua - witches in town (radio edit) lyrics