phina - bye bye كلمات أغنية
[intro]
yeah
the melanin queen, yeah
bomboclat, mmh
[verse 1 : harmonize]
hivi tuseme alijisahau
ama alijiona ameshapanda dau
maneno maneno ya nahau
yakazidi, na mi mtu sio nyau
hakujua nini tofauti
baina ya mjinga na mpole, ooh
hadi saluti
nikapiga nikisema sorry
kukuombea mema ni uongo
walahi nakuombea upate chongo
[pre_chorus ; harmonize]
ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
hadhi yangu kubwa sana, si mimi kuwa mdondoo
hatuwezi kulingana kauli, hata matendo tu
kwaheri ya kuonana, leo nalivua pendo
[chorus : harmonize & phina]
byebye, bye bye, bye bye, mwanakwenda bye bye
byebye, bye bye, bye bye, mwanakwenda bye bye
byebye, bye bye, bye bye, sikudai bye bye
byebye, bye bye, bye bye, hunidai bye bye
[verse 2 : phina]
oh oh, bye bye mwanakwenda ah
ah ah, sikatai nilikupenda ah
uoga wa kunguru, kuzilinda mbawa zake
kikubwa uhuru, tajiri na mali zake
h_llo from the other side
and i feel so bad
kukuombea mema ni uongo
walahi nakuombea upate chongo
[pre_chorus : phina]
ada ya mja hunena, ungwana ni kitendo uuh
hadhi yangu kubwa sana, si mimi kuwa mdondoo
hatuwezi kulingana kauli, hata matendo tu
kwaheri ya kuonana, leo nalivua pendo
[chorus harmonize & phina]
byebye, bye bye, bye bye, mwanakwenda bye bye
byebye, bye bye, bye bye, mwanakwenda bye bye
byebye, bye bye, bye bye, sikudai bye bye
byebye, bye bye, bye bye, hunidai bye bye
كلمات أغنية عشوائية
- mr. yote - tzatziki smoothie (alt. version) كلمات أغنية
- 6ierre & dougie jay - prove em wrong كلمات أغنية
- ibles - les k!ller كلمات أغنية
- mercurio - angela كلمات أغنية
- signals midwest - you're gonna be golden كلمات أغنية
- crosswalk - low battery كلمات أغنية
- sore losers - reasons كلمات أغنية
- sowelu - can't take my eyes off of you كلمات أغنية
- engenheiros do hawaii - o papa é pop كلمات أغنية
- madeboyisreal - husky كلمات أغنية