kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

phina tz - sisi ni wale كلمات الأغنية

Loading...

sisi ni wale tuliosaidiwa na mungu
sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba
sisi ni wale tuliosaidiwa na mungu
sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba
sina hela, sina pesa, sina doh
sina nyumba sina gari, sina ooh
kila kukikucha mi naiwaza kesho
napiga moyo konde nitafika ooh
wanaokudharau leo
watakusalimia kesho, kwa heshima
wanaokusema sema, watakusifia kesho
unaokula nao na kucheka nao
kesho ukidondoka utokuwa nao
piga moyo konde
wakati wa mungu wakati sahihi
piga moyo konde
wakati wa baba wakati sahihi
(sisi ni wale)
sisi ni wale tuliosaidiwa na mungu
sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba
sisi ni wale tuliosaidiwa na mungu
sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba
jana niliumwa, nikadhani nitakufa
leo niko fiti, ukinicheki nadundika
nilipoachishwa kazi walidhani nitasota
leo nipo juu ile kibosi nadundika
kama unaamini umesaidiwa na mungu
piga kelele
kelele moja
(eeh) kelele mbili (eeh eeh)
kama unaamini umesaidiwa na mungu
piga kelelе
kelele moja
(eеh) kelele mbili (eeh eeh)
sisi ni wale tuliosaidiwa na mungu
sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba
sisi ni wale tuliosaidiwa na mungu
sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...