petronilla ayuma - mama كلمات الأغنية
intro
the spirit of a mother never dies
verse 1
uliyalea maisha yangu
upendo wako kw_ngu ulikuwa mkuu
milele daima ulikuwa kw_ngu
hata kama uliondoka haraka
mkono wako ulinifuta machozi
mdomo wako uliniimbia wimbo
ulinituliza kifuani pako
nikalala mikononi mwako ooh mamaaa
chorus
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe
verse 2
mbingu zilipo nigeukia kijivu
wakati mwingi nilikuwa taabani
ulikuwapo daima kunifariji mimi mama aaah
ulinifunza like kitu nikajua
nami nikaweka salama ndani yangu
upendo wako kw_ngu ulikuwa kama miyale ya nyota aah
kuniangazia dunia yangu vikali mimi mama aah
asante malkia w_ngu dunia yote
chorus
mamaa mamaa
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe
bridge
mamaaa mamaaa
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe
nimetafuta kila mahali nimetafuta dunia yote
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe…
kwenye vikundi vya wa mama
sijaona wakulinganishwa..
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe…
mwenye mausia bora
mwenye uelekezi bora..
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe…
mwenye ushawishi bora
mwenye mwenye uongozi bora
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe…
chorus
mamaa mamaa
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe x2
ulinganishwe na naniii
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe
ufananishwe na naniii
malkia w_ngu dunia yote hakuna kama wewe
كلمات أغنية عشوائية
- eden prince - p.yt. (pretty young thing) كلمات الأغنية
- double pact - le passé passe كلمات الأغنية
- rick b. cokkaineh - boa noite (rick b. cokkaineh remix ) كلمات الأغنية
- el reja - pool party كلمات الأغنية
- labi siffre - love oh love oh love كلمات الأغنية
- creepy-p (eyeris) - mommy كلمات الأغنية
- big c [dz] - ghir ana كلمات الأغنية
- the senate (au) - swallowed by the sarlacc كلمات الأغنية
- itvchi - oxy. كلمات الأغنية
- theo verney - mind fire كلمات الأغنية