padrino - temper كلمات الأغنية
[intro]
sound by sirav
[chorus]
nikona temper
usiite waiter baby nina temper
nikikasirika meza na hygiene hawatajuana
na nikikuweka laini lazima nitakemba
utatoa mawili alafu tuingie ketepa
temper
nikona temper
waiter leta
tempa
nikona temper
ksss wale wapewe
bill usigawe
hadi waiter apewe
na ukifika kejani ukutane na sk_ma si unapandwa na pressure
[verse]
mimi stima kenya power wanajua sina tampa
huna tako na unadai sponyo si wee vera sadaka
wapi pedi damu inalia ongeza voloyum chunga ukedi hawa watoto wanapeana kama polio
reggaе na k_medi juu ukidedi disco matanga huendi
mrеmbo kaza dina wacha rasta akichovya msina
juu anapenda tu ma designer me ntampanda
mrembo wako utumishi kwa wote kwani chanda
na anapenda nikimbao kwani randa
ana mathigh hawezi kataa miti an_z_panda tu kama w_ngari
piga kuni atoke mbio kama swara
abraham alikuwa na bibi wawili tulia sara
usijianike huku nje watakusoma umeparara(prr prr)
nunua kuku manga uburudike na coke
fame yako anakaa familier
k_mbe ni ule tulipanga na yeye familia
ota jua ndoto zangu huwezi ota unajua
hadi ukate maji aje lazima utafua
[chorus]
nikona temper
usiite waiter baby nina temper
nikikasirika meza na hygiene hawatajuana
na nikikuweka laini lazima nitakemba
utatoa mawili alafu tuingie ketepa
temper
nikona temper
waiter leta
temper
nikona temper
ksss wale wapewe
bill usigawe
hadi waiter apewe
na ukifika kejani ukutane na sk_ma si unapandwa na pressure
[verse]
sura mkundu nikiwatoka kama mnyambo
vybe zangu ligi ya mondo utadhani me kartel rambo kanambo
wakisema uko chini wak_mbushe ni design ya lambo
me hukunywa balozi baby ntakusmamia
mabongo wakitokea label ni wasafi
na hama hama utadhani jina ya pili ni gadafi
heshimu ndevu wananiconfuse na shaffie
zidi kujipaka jivu utapata tu jiko
pesa ikiingia hadi tembe tutakula na kijiko
jiheshimu madam usiwaache wakukule mpaka na mwiko
acha wabonge kujitetea wachia shiko
ambia mejja huyo fame ni minor
na anachimbia hii kero k_mbe anaitwa maina
hadi mrembo akukatae aje enda ukule chapo hio rorashio
mimi bwana ya wengi kaa yesu
namuingiza bafu aangushe sabuni ikuwe kamiti
ngoma zangu moto mafans walitupa charger
mambo yangu chini ya maji niite papa
sipendi kugotewa masaa ya sapa
[chorus]
nikona temper
usiite waiter baby nina temper
nikikasirika meza na hygiene hawatajuana
na nikikuweka laini lazima nitakemba
utatoa mawili alafu tuingie ketepa
temer
nikona temper
waiter leta
temper
nikona temper
ksss wale wapewe
bill usigawe
hadi waiter apewe
na ukifika kejani ukutane na sk_ma si unapandwa na pressure
كلمات أغنية عشوائية
- victor & leo - amigo apasionado - amigo apaixonado كلمات الأغنية
- memnon the black - teacher, teacher كلمات الأغنية
- miq - to the moon كلمات الأغنية
- ali tomineek - halloween كلمات الأغنية
- khontkar - for the kill كلمات الأغنية
- lakutis - what the fuck كلمات الأغنية
- el tiempo - la reynalda (la minifalda de reynalda) - la minifalda de reynalda كلمات الأغنية
- keizer - dieper dan je man كلمات الأغنية
- royce da 5'9'' - royce is like كلمات الأغنية
- nause - mellow - radio edit كلمات الأغنية