kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

octopizzo – oliel كلمات اغاني

Loading...

mi ndo uanzisha na bado mi ndo umaliza,
mi ndo uwakisha na bado mi uwazima,
ambia kenyapower sitaki stima,

zangu geothermal uwezi zima,
flow ndani ya thermos iwezi poa,
hizi roots deep sana bana ata wale
washamba wa kushrub kuna venye awaezi ng’oa,
najipenda sana siezi oa,
mfanyikazi kamewaka,
ndo ufanye kazi mi si worker,
c trash lakini bado wanaitaka,
nikipanda stage wanaitaana,
nikishuka wanajua nmei-murder,(murder)
bila suti nko official,
mabao nyingi cheki scoreboard,
ubao kibao no wonder wanatalk joh,
kasinuke oliel,
kasinuke oliel,
kasinuke oliel,
kasinuke oliel,
kamewaka sana bana(bana),
kamewaka sana bana(we lit),
kasinuke oliel,
kasinuke oliel,
kasinuke oliel,
kasinuke oliel,
kamewaka sana bana(bana),
kamewaka sana bana(we lit),
ulalala,
hii raia bado naskia imedoz bana,
kurarara,
naskia nyi ni under-age ata hamjatoboa kuvote bana,
ma politician wametugeuza machete
venye huku kwa street daily wanatupanga,
manguruwe sana wanajikaanga,
bigbrother tangu nikue mchanga,
so, mi ni e-sir we ni habid namanga,
villa rosa, kempinski na sijiskii
god mc uliza shinski,(hee)
ni mimi pekee,
victoria boy design me uuza hizi samaki wanadai siku izi
mi ni mselfish,
wamesahau tukiwa stage latenight nikipiga
show hao walikua pale chini wakipiga maselfie,
hauko sure shika njefi,
fifty-fifty hadi wableki,
nabring back still namove forward, ambia promoter alete show man,
netfreeze, winter mi ndo snowman
ntakuingia mi ndo door man,
ambia mabouncer wazidi ju mi ndo nkona doh man,
kasinuke oliel
kasinuke oliel
kasinuke oliel
kasinuke oliel
kamewaka sana bana(bana)
kamewaka sana bana(we lit)
kasinuke oliel
kasinuke oliel
kasinuke oliel
kasinuke oliel
kamewaka sana bana(bana)
kamewaka sana bana(we lit)
kasiniuke oliel
mama genga eliel
pile pipe wamiyeng’
pizzo de world
uliza dayo atakushow pizzo (oliel)
g.o.a.t mbuzi ni me,
my litna my thitima,
afande usinivunje sina noma,
niko lit lakini cjachoma,
fom gani,
ziko bomas
rada gani cjaziona,
form34b hatujaziona,
uliza fire fighters watakushow, oliel
uliza chief-chef atakishow,
oliel
uliza pedy buda atakushow,
oliel
ukijipata h-ll utatishow,
oliel
a-town geng’ geng’
kasinuke oliel
kasinuke oliel
kasinuke oliel
kasinuke oliel
kamewaka sana bana(bana)
kamewaka sana bana(we lit)
kasinuke oliel
kasinuke oliel
kasinuke oliel
kasinuke oliel
kamewaka sana bana(eeh)
kamewaka sana bana(we lit)
(a-town manze joh bana.
yaani usiwahi pima,
usiwahi pima yaani
haimake sense ka mvuvi kusema mi ni mselfish
cheza chini buda
it’s another oone)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...