kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

otile brown - umenipendea nini كلمات الأغنية

Loading...

[verse 1: otile brown]
yeah
tahitaji zaidi ya maneno kushawishi moyo
yalivyo nitenda mapenzi
kuyakurupukia tena siwezi
kidogo initoe uhai, usione nakuringia
nayaogopa mapenzi

[pre_chorus 1: otile brown]
mapenzi hayajakamilika
mapenzi ni maridhiano, imani na nia
mapenzi ni mawasiliano
nami na maswali mengi kwako, kilicho kutenganisha na ex wako
usiseme unanipenda na haujamaanisha

[chorus: otile brown]
hivi, umenipendea nini?
sema umenipendea nini?
sema basi umenipendea nini?
sema umenipendea nini?
ihaji made it

[verse 2: barakah the prince]
ah
na sio sina mapenzi, ila mapenzi yalinitia kiburi
yalicho nitenda enzi, hizo
maana wengi niliwapa mapenzi
baada ya penzi, nikavuna uadui
naogopa mwisho vilio
[pre_chorus 2: baraka the prince]
mapenzi hayajakamilika
mapenzi ni maridhiano (ni maridhiano)
imani na nia
mapenzi ni mawasiliano
ila mi na maswali mengi kwako, kilicho kutenganisha na ex wako
na kama wanipenda na haujamaanisha

[post_chorus: barakah the prince]
hivi, umenipendea nini?
sema umenipendea nini?
sema basi umenipendea nini?
oh, loh
niambie umenipendea nini?
nini umenipendea?

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...