otile brown - umedamshi كلمات الأغنية
mtoto umedamshi
oooh nah nah nah, oh nah nah
oooh nah nah nah, oh nah nah
oooh nah nah nah, oh nah nah
oooh nah nah nah, oh nah nah
mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
mungu kakuumba aah, kakutengeneza
unavodamshi, umenipendeza
unanikosha unavocheza
kaja ketepa na mandom mama
njoo nami nikupe fam
hakika mama nina mipango, njoo nikushow
natamani ningekujua kitambo
before.. yeah
maana ma we mzuri, mi nakutamani
huna kiburi, nitakufunda ndani
maana ma we mzuri, mi nakutamani
huna kiburi, nitakufunda ndani
nina imani hata ni kwa neema
mi nawe kukutana bali kwa neema
sio bure, sio bure
nina imani hata ni kwa neema
mi nawe kukutana bali kwa neema
sio bure, sio bure
oooh nah nah nah, oh nah nah
oooh nah nah nah, oh nah nah
oooh nah nah nah, oh nah nah
oooh nah nah nah, oh nah nah
mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
mtoto una teke, tena yеnye matege
na kiuno cha wеmbe unakata ka machette love
unakata kama machette love
mtoto una teke, tena yenye matege
na kiuno cha wembe unakata ka machette love
unakata kama machette love
maana ma we mzuri, mi nakutamani
huna kiburi, nitakufunda ndani
maana ma we mzuri, mi nakutamani
huna kiburi, nitakufunda ndani
nina imani hata ni kwa neema
mi nawe kukutana bali kwa neema
sio bure, sio bure
nina imani hata ni kwa neema
mi nawe kukutana bali kwa neema
sio bure, sio bure
(vicky pon dis)
oooh nah nah nah, oh nah nah
oooh nah nah nah, oh nah nah
oooh nah nah nah, oh nah nah
oooh nah nah nah, oh nah nah
mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
كلمات أغنية عشوائية
- voilà - figure you out (housefly remix) كلمات الأغنية
- gemroz - j'me rappelle كلمات الأغنية
- goin’ through (grc) - όπως εγώ (opos ego) كلمات الأغنية
- dyavol66 - чувствую себя звездой كلمات الأغنية
- yolo flava - spine كلمات الأغنية
- remski - misli كلمات الأغنية
- woee33 - just live* كلمات الأغنية
- sochny - dostava كلمات الأغنية
- azure the paradox - gtr كلمات الأغنية
- eldkvarn - maria, inför gud كلمات الأغنية