otile brown - ulishindwa كلمات الأغنية
najua nampenda si utani
sikutamani k_mtenda tangu zamani
ila unafahamu kwamba mimi nilimweka ndani
ndo maana hata ukikaa naye tu chumbani
ewe kwenda someee
wewe ni mwongo sana
unajifanya unampenda
sababu niko nayee
haiyayayaya some wewe
haiyayayaya niko naye
ulinifanya niwe mjinga
tena tapeli wa mapenzi
kwenye swala la mapenzi
unataka tu niwe kayumba
(oooh baba yeah we tuga)
ooh nini nanana mi ndo ticha wa haba
ooh nini nanana wewe kwako ulishindwa
sasa vipi tena maneno maneno unaongea
asa vipi tena kunung’unika kwako moyo unaniuma some
naamini walaghai ata penzi ninaona kama halifai
ndo maana najidai ata nikiwa naye nani nainai
ndo maana nipo na yeye chumbani
nikikaa nikiwaona naye najiwa sawazisha
ndo maana nakwambia ata wewe haufai
ungekuwa rafiki mzuri mama, ungeniletea na zawadi
ungemleta kw_ngu chumbani
alafu nikwambie vitu fulani
si machoche chuchuria
k_mbe moyo wako unaumia
yaani kama niko naye zawadi nitakuletea
kadi nzuri nipo naye,kadi nzuri ooh ya ndoa
oooh wee
ulimchezea kw_ngu mi aaah
sawa, ulimchezea kw_ngu haj_potea some
ooh nini nanana, mi ndo ticha wa haba
ooh nini nanana, wewe kwako ulishindwa
sasa vipi tena maneno maneno unaongea
asa vipi tena kunung’unika kwako moyo unaniuma some
unajifanya tena mjanja
tena mjanja tu wa mapenzi
kwenye swala la mapenzi mimi naamini tuwe kayumba
oooh ila tu na wewe, we muoe basi
ila tu siongei sana muoe basi
كلمات أغنية عشوائية
- eñaut elorrieta - mendigoxaliarena كلمات الأغنية
- remy banks - march of the broken hearts كلمات الأغنية
- giorgio laneve - bernardo l’eremita كلمات الأغنية
- edubb - rain boots كلمات الأغنية
- vinnie who - what you got is mine كلمات الأغنية
- apollo brown & oc - anotha one كلمات الأغنية
- hologram lo' - même si كلمات الأغنية
- 3d - outro كلمات الأغنية
- gabriel blondet - te acuerdas كلمات الأغنية
- samsquanch - voices كلمات الأغنية