
otile brown - the way you are كلمات أغنية
fi di ladies(fi di galdems)
aha!
mungu kakuumba vikamilifu yeah
black beauty umewaka
mama umewaka
umbo lako nyembamba yeah yeah
mbona hata mitumba inakaa
mbona inakaa?
usijiboosti makalio beiby
hio ndogo ndo napendaga(yiii)
mi napendanga
chuchu zako ndogo ka tomato
hio ndogo ndo napendaga
mama napendaga
maana! kunao wanaopenda biggy
mi napenda ndogo
wanapenda light skin, mi napenda choco
usijibleach mikorogo(mikorogo)
kunao wanaopenda biggy
mi napenda ndogo
wanapenda light skin, mi napenda choco
usijibleach mikorogo(mikorogo)
asiyekupenda ulivyo
hatokupenda hata ujichubue(ujichubue)
asiyekupenda ulivyo
hatokupenda hata ujichubue(ujichubue)
i love you just the way you are(you are)
ooh beiby(you are)
mmmh(you are)
i love you just the way you are
i love you just the way you are(you are)
ooh beiby(you are)
mmmh(you are)
i love you just the way you are
(ihaji made it)
mmmh! hio figa yako nyembamba
ladha ya uchumba
tukichoshwa kitanda
anipa hadi kwa ukuta
huwa nambeba kama mtoto
mwepesi ka pamba
zile bingiri bingi za chumbani
jirani alalama
kipepeo! darker the berry
kipepeo! sweeter the juice
kipepeo! chuchu ndogo ka keli
ila nanyonya naguza
kunao wanaopenda biggy
mi napenda ndogo
wanapenda light skin, mi napenda choco
usijibleach mikorogo(mikorogo)
kunao wanaopenda biggy
mi napenda ndogo
wanapenda light skin, mi napenda choco
usijibleach mikorogo(mikorogo)
asiyekupenda ulivyo(oooh beiby)
hatokupenda hata ujichubue(ujichubue)
asiyekupenda ulivyo(oooh beiby)
hatokupenda hata ujichubue(ujichubue)
i love you just the way you are(you are)
ooh beiby(you are)
mmmh(you are)
i love you just the way you are
i love you just the way you are(you are)
ooh beiby(you are)
mmmh(you are)
i love you just the way you are
ai!
كلمات أغنية عشوائية
- amon sethis - the blood red temple كلمات أغنية
- alex blue davis - go on home كلمات أغنية
- jahkai, j.tatts - josh calls jahkai (skit) كلمات أغنية
- shankar mahadevan - koi nahin hai كلمات أغنية
- wires on fire - swordfish كلمات أغنية
- martin (tur) - pause كلمات أغنية
- cobranoid - shimmer كلمات أغنية
- nick lowe & the impossible birds - i'm coming home كلمات أغنية
- most dzy - africa nera كلمات أغنية
- bubbi morthens - útsýnið er fallegt كلمات أغنية