otile brown - samantha كلمات الأغنية
teddy b…
mmmmh….mhhh….
rangi ya mtome ndo bei
rangi ya mtome ndo bei
ngozi yake laini
(hmmmmhhh)
kiuno chake cha kipekee
kiuno chake cha kipekee
yaani figa nane kamili
(hmmmmhhh)
tena magari yanabishana kwao
usiku na mchana
washika dau na wasanifu oooho
mimi namlaumu mama (yako)
ulo ridhi matatizo
uzuri wako swaserii (ooooh hmmmmhh)
[chorus]
samantha (hey), samantha
samantha oooh baby
baby you are my samantha
samantha, samantha
uzuri wako timilifu
samantha oooh beiby
[verse 2]
hey nilipokuona
nilijua wewe ndo w_ngu
wala macho yangu hayakunidanganya (hmmmh)
sasa nisipokuona kama ninakosa kanisa
naogopa utanipora
samahani kama
nakuhuk_mu vibaya
my beiby, ni kwa sababu nakupenda
na najua unanipenda
tatizo wivu ninao
mmmh beiby, basi tusonge lala
hakika ulivyojaza hilo tattoo
mimi macho kondo
utuapo madem hawakai
basi nipige game hadi ufurahi
wewe kiboko
mwalimu wako fundi hatari
[chorus]
samantha (hey), samantha
samantha oooh baby
baby you are my samantha
samantha, samantha
uzuri wako timilifu
samantha oooh beiby
samantha (hey), samantha
samantha oooh baby
baby you are my samantha
samantha, samantha
uzuri wako timilifu
samantha oooh beiby
badman girl show me badman thing
badman girl show me badman thing
badman girl do the badman thing
badman girl do the badman thing
badman girl show me badman thing
كلمات أغنية عشوائية
- scarface - n 2 deep كلمات الأغنية
- stephen duffy - baby impossible كلمات الأغنية
- meat puppets - dry rain كلمات الأغنية
- stephen kellogg the sixers - sun كلمات الأغنية
- stephen covell - jay's song كلمات الأغنية
- statler brothers - sweet by and by كلمات الأغنية
- stephanie rearick - the man whole stole tomorrow كلمات الأغنية
- scarface - coming with that shit كلمات الأغنية
- meat puppets - vile كلمات الأغنية
- stephen kellogg the sixers - the america song كلمات الأغنية