kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

otile brown - niacheni كلمات الأغنية

Loading...

maneno yatanichoma moyo
ila hayawezi kunizui
ungeshanitoa roho neno lako lingekua sheria
tena nidhairi unanichukia
j_po sijui ni kwa nini
mana sababu zangu zakuoundoka un_z_jua
tena nizamsingi oh yeah ehh
tatizo hisia zangu haziheshimiwi
mama nakujuwaa
usijafanye eti hujui
tatizo mimba yangu ulioitoa
niacheni msione nipo kimya
mwenzenu nina mengi
wacha nilie na moyo w_ngu
maneno mimi sipendi
niacheni msione nipo kimya
mwenzenu nina mengi
wacha nilie na moyo w_ngu
maneno mimi sipendi
[chorus]
i will do … better, do…. better
i will do… better
i will do … better, do ….better
i will do better
tena hauna shukran
utasemaje sikukupenda eeh wewe
nikutumie kwa msingi gani
wakati ulinikuta na tesa eeeh hmmm
nlivyokupenda na shidi zako mama (ayaya)
na madhaifu yako mama (aya)
nikapigana ata vita vyako mama
nikuridhie…
nlivyokupenda na shidi zako mama (ayaya)
na madhaifu yako mama (aya)
nikapigana ata vita vyako mama
nikuridhie…
niacheni msione nipo kimya
mwenzenu nina mengi
wacha nilie na moyo w_ngu
maneno mimi sipendi
niacheni msione nipo kimya
mwenzenu nina mengi
wacha nilie na moyo w_ngu
maneno mimi sipendi
[chorus]
i will do … better, do…. better
i will do… better
i will do … better, do ….better
i will do better
i will do better
ama do better…

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...