kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

otile brown - mungu wetu sote (good life) كلمات الأغنية

Loading...

mungu sio athumani, leo sio ka jana
alhamdululah wacha nile bata
nimetoka mbali tena peace and love
kwa wanaonijaji hanipikosa
mambo kibosi bosi, laki haitonikosti
mzigo umetua port, eh acha nisherehekee
nisherehekee, nikinywe hadi nilewe
nizime tinga hadi nibebwe, eh eh
hakika mungu wetu sote (sote, sote)
tena anatupenda sote (sote, sote)
hakika mungu wetu sote (sote, sote)
tena anatupenda sote (sote, sote)
leo mimi kesho wewe eh
najana kaninyima kakupa wewe
leo mimi kesho wewe eh
najana kaninyima kakupa wewe
ona we, leo mimi kesho wewe
see i’m about good life, good life
i’m about good life
nilishakula msoto sana mimi eh
nishachekwa sana mimi eh eh
see i’m about good life, good life
i’m about good life
nilishakula msoto sana mimi, you know
nishachekwa sana mimi eh eh
haitonikosti, mambo kibosi bosi, laki haitonikosti
mzigo umetua port, eh acha nisherehekee
nisherehekee, nikinywe hadi nilewe
nizime tinga hadi nibebwe, eh eh
hakika mungu wetu sote (sote, sote)
tena anatupenda sote, you know (sote, sote)
hakika mungu wetu sote (sote, sote)
tena anatupenda sote (sote, sote)
leo mimi kesho wewe eh
najana kaninyima kakupa wewe
leo mimi kesho wewe eh
najana kaninyima kakupa wewe ehh mhh
leo mimi kesho wewe eh
mama shivo eh
tell upon this, this, this…

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...