
otile brown - mama كلمات أغنية
sema mami natamani anga mara moja uamke nikuone
sikuwahi kukuambia nakupenda kabla uondoke
na ina ichoma moyo w_ngu
ina ikwaza nafsi yangu
mana sikupata mda mama yangu
ya kuomba msamaha wa kosa langu
sometimes najifunga chumbani mwenyewe
najiliza kama mtoto
je unejivunia mimi kua mwanako wewe
kwenye hii dunia changa moto
tena bado n_z_ngatia mafunzo yako
busara heshima na upole
ingawa binadamu kazi
i miss you
yani leo zaidi ya jana
hasa siku kama hii
i miss you
nimejifunga mengi sana toka uniage mama
mapenzi mwenyewe mama yako
mungu akupe radhi diama
kipenzi changing cha moyo
cha kukulipa sina
shukrani kwanza kwakunileta hii dunia
ungeweza kuitoa mimba yangu
ila ukachagua ni ishi mama
ninakuonaga unavyojinyima nipate
izo shida n_z_shuhuda
nasijawai kujutia kua mwanao mama
aaahh mama nataka ujue nashukuru
i love you
yani leo zaidi ya jana
i love you mama
na najitahidi sana nikupendeze mama yangu
na bado n_z_ngatia mafunzo yako
busara heshima na upole
ingawa binadamu kazi
كلمات أغنية عشوائية
- forged in fire - wicked souls كلمات أغنية
- ljilja bela - moj kraj كلمات أغنية
- extreme music - fly كلمات أغنية
- princess liv - milk كلمات أغنية
- mikelodic - bao lâu chưa về nhà كلمات أغنية
- maluma - hace un mes كلمات أغنية
- slowdive - chained to a cloud كلمات أغنية
- teenie - бред (nonsense) كلمات أغنية
- rivr persn - ghxsts and shxt كلمات أغنية
- plain speak - fault line كلمات أغنية