otile brown - malipo كلمات الأغنية
(verse 1)
ujumbe nimeusoma
na salamu nimezipokea
nami mzima wa afya nashukuru
ila hali bado ngumu
lakini bado sija kata tamaa
kwenye juhudi na ndoto zangu
ulio dai kuwa ndogo
nimekubali matokeo
na naelewa sababu zako za kuniacha
kwa hilo sita kuhuk_mu
kinachoniuma
kutoka na rafiki w_ngu wa dhati
kunidharau na kunidhihaki wewe
kinachoniuma
hivi mmenicheati mara ngapi
mbele ya macho yangu bila kujua
(chorus)
malii malipo
ni hapa hapa duniani
sikuombei mabaya
ila nakuchukia
malii malipo
ni hapa hapa duniani
sikuombei mabaya
ila nakuchukia
(verse 2)
umasikia w_ngu unaniponzaa
hewalah!
oh ooh
na ukitaka kujua jinsi gani nakuchukia
nimesahau jina lako…
sik_mbuki mie !
oh ooh
na ukitaka kujua jinsi gani nakuchukia
nisha sahau ata sura yako
jaraha ulinioachia mi sidhani ka nitapenda tena
umenivuruga mama , umenivuruga
jaraha ulinioachia mi sidhani ka nitapenda tena
umenivuruga
kinacho niuma kutoka rafiki w_ngu wa dhati
kunidharau na kunidhihaki we!
oh ooh
kinachoniuma
hivi mmeni cheati mara ngapi
mbele ya macho yangu bila kujua
(chorus)
malii malipo
ni hapa hapa duniani
sikuombei mabaya
ila nakuchukia
malii malipo
ni hapa hapa duniani
sikuombei mabaya
ila nakuchukia
كلمات أغنية عشوائية
- thulaganyo - p.o.s كلمات الأغنية
- lexy panterra - eotw كلمات الأغنية
- joan sebastian - tu piel كلمات الأغنية
- russ ballard - king for a day كلمات الأغنية
- ce014 - без чувств(no feeelings) كلمات الأغنية
- bambole di pezza - contare 0 كلمات الأغنية
- ghost coach - face up كلمات الأغنية
- mica trofrtaljka - tužan pogled u džepove prazne كلمات الأغنية
- горный (gornyy) - опять забыл (i forgot again) كلمات الأغنية
- 408 darwin - shoebox كلمات الأغنية