
otile brown - leilah كلمات أغنية
oooh yeah, aah aah yeiyeee
alright
anaitaka hapati
alijaliwa kidhamini
yeiyei yeiyee mmmh
hakika mwana akipenda kweli
atapigana vita vingi
aibu sio penzi
hivyo unampendea nini
wakati kila kutwa anakuliza
unang’ang’ania nini
ni zaidi ya heri sivuti
wanaume wengi ni kama _
hawamaanishi wasemacho
ni waongo hawafai
if i was your lover
ningedhamini penzi lako
style bora
mwanamke anahitaji matunzo
leila, leila
ungekuwa w_ngu ningekupenda ipasavyo
leila, leila
ungekuwa w_ngu ningekupenda ipasavyo
changu chako, chako changu mi nawe
na wewe
tena niacha utoto, kutwa kucha machangu
nikuoe
nitakuwa shujaa wako mama
nitaliwaza mama
nitakufariji mama
ukinihitaji mama, nipigie simu yangu
nitakuwa shujaa wako mama
nitaliwaza mama
nitakufariji mama
nipigie simu yangu
if i was your lover
ningedhamini penzi lako
style bora
mwanamke anahitaji matunzo
leila, lеila
ungekuwa w_ngu ningekupenda ipasavyo
lеila, leila
ungekuwa w_ngu ningekupenda ipasavyo
if i was with you leila
if i was with you leila
if i was with you leila
if i was with you leila
ningekupenda ipasavyo my beiby
كلمات أغنية عشوائية
- lil prezi - what it is كلمات أغنية
- kevin johansen - 5 in the morning (great divide) كلمات أغنية
- yung wardy - fuck the 5 & 3 كلمات أغنية
- okekel - mini man كلمات أغنية
- daddy lumba - bribi gyegye wo كلمات أغنية
- cookie trel - shit so strong كلمات أغنية
- sarinasmusic - artist with an e كلمات أغنية
- the accidentals & kaboom collective - lady of the lake - reimagined كلمات أغنية
- ohm-i (rap) - tabs كلمات أغنية
- reed night - 666 كلمات أغنية