kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

otile brown - kosea كلمات الأغنية

Loading...

mmh hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
ooh beiby, unaninyanyasa sana
hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
ooh beiby, unanitesa sana (ooh oh oh)
sometimes nafanya zile vitu sipendi
ili nikuridhie
ila ndo bado nanong’ona, yeah yeah
natamani ardhi ipasuke, inimeze
maana mwenzio nimechoka
mwenyezi mungu niwezeshe
bora iliponifika inisepe
kama umenichoka unieleze beiby

mwenyezi mungu niwezeshe
bora iliponifika inisepe
kama umenichoka unieleze beiby
hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
ooh bеiby, unaninyanyasa sana
hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
ooh beiby, unanitesa sana
(vicky pon dis)
elеwa sishindani nawe
sibishani na wewe, mama utakalo na liwe
elewa sishindani nawe
sibishani na wewe, mama utakalo na liwe
beiby niende kushoto uende kulia, kama hatutakani
nimekuvumilia, ila ni kama hatuendani
kila siku vitimbi, utadhani vioja mahakamani
hapa ilipotimia kwa hili penzi nishapoteza imani
hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
ooh beiby, unaninyanyasa sana
hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
ooh beiby, unanitesa sana
hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
ooh beiby, unaninyanyasa sana
hujawai kukosea, sijawahi kuwa sawa
ooh beiby, unanitesa sana

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...